BAKWATA ilishawekwa mfukoni, usitegemee itakemea mabaya ya Serikali

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,614
Reaction score
140,088
images.jpeg

Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya

Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAKWATA mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
 
View attachment 668040

Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya

Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAkwata mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
Bakwata ni ngo iliyosajiliwa Tanzania na inafanya shughuli zake Tanzania tu kama i!livyo nyie Ufipa sasa wivu wa nini tena?!
 
Wale ni wanafki kiwango cha makinikia!
Najua dhamira inawasuta maana wanayofanya ni against their will.
Hawawezi kukemea chochote hawa.
Ingawa waislam ni jasiri sana lakini hawa udhaifu wao unaonekana hata na kipofu
 
Huo " ujasiri" unaupimaje?
 
Katika Katiba ya bakwata hakuna kipengere kinaitaka kuikemea serikali.
 
View attachment 668040

Hakuna namna ambayo BAKWATA na mashehe wake watatoka mbele na kuikemea serikali kwa baadhi ya mambo inayofanya

Mjengo uliotangazwa kuwa BAKWATA inajengewa na Makonda umewaweka BAkwata mfukoni zaidi. Japo kiukweli jengo lile linajengwa na GSM
Toka zamani ndugu. Ukisoma.vizuri historia ya Tanzania hakuna harakati zozte za kudai uhuru wa nchi hii zilizofanyika bila kuwepo kwa waislamu. Baada ya uhuru JKN akawageuka kama alivyowageuka kina kambona na wengine wengi (mzee mohd said-gwiji la historia tusaidie). Mwalimu alifanya vile ili pasije pakatokea ki a.ponda wengi akashindwa kuitetea roma yake.kwa waislam bakwata ni chombo cha serikali na kipo kuitikia serikali wala sio wao
 
Kwani bakwata niyawaislam wa wapi namimi nimo?
Kama mnaona bakwata ni kama sehemu ya genge la wahuni. sasa nyinyi ambao mnautambua uislam wa kweli undeni taasisi yenu kwa jina lingine ambayo itakuwa huru.
 
Toka zamani ndugu. Ukisoma.vizuri historia ya Tanzania hakuna harakati zozte za kudai uhuru wa nchi hii zilizofanyika bila kuwepo kwa waislamu. Baada ya uhuru JKN akawageuka kama alivyowageuka kina kambona na wengine wengi (mzee mohd said-gwiji la historia tusaidie). Mwalimu alifanya vile ili pasije pakatokea ki a.ponda wengi akashindwa kuitetea roma yake.kwa waislam bakwata ni chombo cha serikali na kipo kuitikia serikali wala sio wao
Kwani waliowekwa kuiongoza hiyo BAKWATA ni wakristo au wahindu? Si ni waislam hao hao? Hapo maana yake ni nini?
 
Bakwata ni ngo iliyosajiliwa Tanzania na inafanya shughuli zake Tanzania tu kama i!livyo nyie Ufipa sasa wivu wa nini tena?!
Unakiita chama kilichosajiliwa kwa sheria ngo ili ujulikane umbumbu wako kichwani... ndo mana mpaka leo hujui TOFAUTI kati ya
Kwani waliowekwa kuiongoza hiyo BAKWATA ni wakristo au wahindu? Si ni waislam hao hao? Hapo maana yake ni nini?
Nachelea kujibizana nawe kawa sababu
1. Hujui historia ya Tanzania!
2. Hujui historia ya uislamu vs nyerere
3. Baadae utakimbilia kuniita wa ufipa.
Bakwata haiwakilishi watanzania hili mpaka uwe na akili timamu ndiyo ujue vinginevyo hutakaa ujue.
 
Back
Top Bottom