Bakhresa Group washusha Meli mpya

Bakhresa Group washusha Meli mpya

40bccdffb4ff527495dafb6182679727.jpg
5d0d566161679d9037022cc486ed1c40.jpg
2a36d64582f1a117c8591d219bb42648.jpg

NB : maadui na wapinzani wa kibiashara wa mzee bakhresa and family,habari ndio hiyo.pongezi kwake tafadhali.
hongera SAID bakhresa
 
Mwambieni nayeye sasa aaze kusaga cement atuuzie bei cheee
 
Chagadema kila kukicha wanahubiri uchumi umeporomoka,

Bakhresa amewaaibisha nyumbu wote
Wewe nae uelewa wako juu ya uchumi ni mdogo sana tunazungumzia uchumi wa bhakresa au uchumi wa nchi ?

Acha kujiabisha JF nenda Facebook na instagram kama hujui mambo
 
Hivi eeeh......
Nataka nifike kwa Amina mpaka hina wa Kibanda maiti.....nitaarudi kesho....
Tehe tehe...twende nkupe lift ila twampitia na Makame kiembe samaki. Tukifika kwake twabonyeza honi bonyeeee...haha
 
Ziwa Victoria pia kuna fursa, awafikirie nao pia. Lingetua ziwani mikoa ya kanda ya ziwa ingejiweka mahali pazuri kibiashara, haswa na nchi jirani.
alipeleka boti zake kule aka ambiwa ana haribu barabara kuzisafirisha toka dar to mza...
 
alipeleka boti zake kule aka ambiwa ana haribu barabara kuzisafirisha toka dar to mza...
hilo tukio nalikumbuka vizuri sana.

hivi ni nani alikuwa waziri wa wizara iliyokuwa inahusika na masuala ya miundombinu na usafirishaji wa kipindi hicho?.
 
huyu mzee wapinzani wake ( competitors ) im sure ni full stress. jamaa sasa hivi ana enjoy economies of scale.
 
huyu mzee wapinzani wake ( competitors ) im sure ni full stress. jamaa sasa hivi ana enjoy economies of scale.
halafu ni kama utawala huu ana upepo nao.

baada ya kusifiwa waziwazi na jpm mwaka jana,Jana pia kasifiwa sana na rais wa nznz, Dr.shein kuhusu michoro ya uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu anao plan kuujenga huko Znz.
 
Alishapigwa zengwe na mwenye barabara miaka ya zamani akasusa kabisa baada ya kuzipitishia Kenya
Hiki ni kizazi kipya, victoria ni fursa huru sana. Mitaji tu, inawazingua.
 
alipeleka boti zake kule aka ambiwa ana haribu barabara kuzisafirisha toka dar to mza...
Enzi za upinzani wa kijinga. Sio kipindi hiki mkuu. Tz imedhamiria (labda wananchi tu) kubadilika mkuu. Tunaweza.
 
Nahodha wa hilo dude ni Mgalatia au Muislam?
wewe kama una mavyeti ya uhandisi wa vyombo vya majini,jaribu ku-apply,acha kuwa na mitizamo ya kukariri.

hilo dude lina lihitaji nguvu kazi ya kutosha ili kuliendesha kibiashara.
 
wewe kama una mavyeti ya uhandisi wa vyombo vya majini,jaribu ku-apply,acha kuwa na mitizamo ya kukariri.

hilo dude lina lihitaji nguvu kazi ya kutosha ili kuliendesha kibiashara.
Kwenye maswala ya uchumi na biashara midini yenu, pembeni. Faida kwanza, dini bdae sana.

Kwahyo Bakhresa aache uchumi atzame ujinga huo? Ni kweli atawabaga ila kama awabebeki je?
 
Back
Top Bottom