Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,506
lakini aliyepewa kapewa mkuu hata ukigomea wewe haitasaidia maadam hajakufanyia ubaya wowote ataendelea kustawi tu kibiashara. analeta ndege 15 kwa kuanzia hapo zanzibar umeisikia hiyo?Ni kweli nimeshachagua kwangu SSB NO
Mmh makubwa...Hujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Angejifunza hata kidogo tu asingeandika hayo.[emoji23][emoji23][emoji23] sasa mkuu wahindi na uislam wapi na wapi? bora hata ungesema kajaza channel za kiarabu kidogo ungetushawishi. tuache chuki zisizo na mpango tuchape kazi.
Kuna shirika/organization moja hivi imejaa wakurya na wajaluo ni hatari. Ili mradi tuna dini na makabila, udini na ukabila haviwezi kuisha.Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Wakristo mmezidi kunywa pombe hivyo mtaharibu kazi. Pili wakristo hamuogopagi dhambi ili mradi dili liko mbele yenu. Angalia hata maaskofu akina kilaini na nzigilwa walipiga escrow. Hamuamuniki nyie makafili. Dini yenu ina walakini na utaratibu wa watu tu siyo ya kweliHujadanganya upo sahihi kabisa yani hawa wote hadi Mohamed mo, yan hata ukiomba field wanataka uwe Muslim na kama wa kiume uwe na hata mzuzu ndio wanakuamin, bint uwe umepiga baibui full hapo utapata. Ila uende smart tuuu na u Jackson wako, barua yako inafutiwa meza au kufungiwa vitafunwa
Shule za english medium hapa dar kama we siyo mhaya hupati ajira. Mfano atlass hapo ubungo karibu na hostelIPP kuna UCHAGGA, AZAM kuna UISLAM, SAHARA kuna USUKUMA
Azam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidinaBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana!
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?!
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo!
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa!Hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa OFISI eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee!
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi!
Una uhakikaNilidhani charles Hillary ni mkristo, burhan muhuza ni mkristo kumbe ni waislamu!
Mkuu mimisimuonei wivu Kwa sababu ya kupata kwake nampongeza kuifanya SSB kuwa brand kubwa east central and south Africa nahisi nikiacha kutumia bidhaa zake kidogo napata faraja ya moyo mengine nahisi ni personallakini aliyepewa kapewa mkuu hata ukigomea wewe haitasaidia maadam hajakufanyia ubaya wowote ataendelea kustawi tu kibiashara. analeta ndege 15 kwa kuanzia hapo zanzibar umeisikia hiyo?
HapanaUna uhakika
Ni kweli hapo kwenye likes. Mfano wasukuma hwa wanapeana likes tu hata kama ni pumba!Mkuu siwezi kukutukana hata moyoni, naomba unisamehe maana inawezekana moyoni umehisi nimekutukana
Kuhusu wingi wa like ni kwamba like haziamui uzito wa hoja, kama ambavyo watu hufanana akili ndivyo hivyo pia huweza kufana ujinga. Nakupenda na kukuheshimu sana ndugu yangu.
kuwapiga chini hutaweza. maana azam ana viwanda zimbabwe malawi kenya rwanda south africa zambia msumbiji uganda congo botswana . kwahiyo utajichosha tu .pole [emoji23][emoji23][emoji23] umesikia anaingiza ndege 15 huko kisiwani ? wivu.com wivu.com wivu.com wivu.comAzam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidina
Kwanini hamtaki hata kutumia akili kwenye mambo kama haya? Yaani wewe hujawahi kuona wakristo Azam au chuki zako za kidini tu?Azam/Bakhresa ni wadini sana, yaani NI LZAMA UWE MUISLAMU ili ufanye kazi huko. Ni LAZIMA UWE MUISLAM!!!!!!!!!!!! Nawachukia sana. Ngoja tuanzishe kampeni ya kuwapiga chini hawa wajahidina
HahahaTusema walionipa like ni kwa kufanana kwetu ujinga. Hapo utakuwa hujanitukana.
sasa kama humuonei wivu hilo sononeko la moyo unalolitafutia faraja linatokea wapii? duuu pole [emoji23][emoji23]Mkuu mimisimuonei wivu Kwa sababu ya kupata kwake nampongeza kuifanya SSB kuwa brand kubwa east central and south Africa nahisi nikiacha kutumia bidhaa zake kidogo napata faraja ya moyo mengine nahisi ni personal