Bakhresa group punguzeni udini

Status
Not open for further replies.
Jiangalie wewe kwa level yako. Msaidizi wa nyumbani kwako unamuajiri vipi? Mara nyingi ni ndugu au mtu wa kwenu au mnasali naye. Ndicho anachofanya Bakhressa kwa kuwa yeye anaamini watu wa imani yake ndio waaminifu kwake. Hawatomdhuru.
Mkuu nakosa hata cha kukujibu, naogopa nisije nikaharibu siku yako kwa majibu ambayo yanaweza yasiwe rafiki kwako.Jaribu kufuatilia michango ya wengine ambao wamechagua kutokusimamia upande.
 
Usinikumbushe nilivyofutwa jina kwenye interview ya kujiunga jeshini nikiwa nasimamiwa na Mzanzibar. Kutaja tu jina langu la Kiisraeli tayari nikapoteza sifa akaja jamaa yangu anaitwa Paulo na yeye wakapita nae lakini akina Sule, Makame,Haji wakapena, wajanja tukakimbilia ajira za kwenye mahotel ya kitalii yanayosimamiwa na Makafri wenzetu huko hatukukuta udini iwe muislam au mkristu ama mpagani poa tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hisia zako tu boss wwla hakun ninayemfahamu huko azam
 
Fungua na wewe kampuni yako uwachukue waliookoka wenzio uwape kazi.
 
Jamani muacheni naye awabebe wa upande huo! Wameachwa nyuma sana kwenye ajira.
Mambo yameanza kubadilika, Aboubakar sasa kashikwa na INDIANS, safu inayojengwa sasa pale juu ni indians kwanza kisha wakenya halafu waTz wasio na qualification za maana.
 
Mkuu nakosa hata cha kukujibu, naogopa nisije nikaharibu siku yako kwa majibu ambayo yanaweza yasiwe rafiki kwako.Jaribu kufuatilia michango ya wengine ambao wamechagua kutokusimamia upande.


Hata mimi sisimamii upande wowote maana Bakhressa hata sura simjui. Nazungumzia uzoefu wangu kama mwajiri.

Nasema kuwa sheria ya kazi haimbani mwajiri binafsi aajiri nani na kwa misingi gani. Na pia siko hapa kushindana na mtu bali ni katika kuweka mambo sawa kwa manufaa ya wengine.

Ukitaka kunitukana ni hiyari yako. Ila kwangu mimi kila post niliyo iweka hapa nimepata like za kutosha kuonyesha kukubalika kwa hoja hizo.

Pole sana kwa kukosa kazi kwa Ndugu Bakhressa.
 
alexelias
Bro usilie sana hata serikalini wanaochukuliwa kwanza ni wakatoliki halafu ni madhehebu mengine ya kikristo mwisho ndio hao waislamu. Na Bakhresa.anafuata system ilivyo na watu wake wa katibu ni jamaa zake na majirani wamtaani kwake ambao wengi ni waislam na anafuata maandiko mpende jirani yako na wakaribu yako. Kwa hiyo funga domo wacha kulalamika lalamika
 
Mkuu GuDume umeongea ukweli......mtu taasisi yake ana Uhuru wa kuajiri atakavyo ..
 
mbona kuna wakina raymond na patric pale azam media? nadhani labda kuna jambo lingine lakini kwa udini hapana aisee namtetea.
Usitetee usichokijua,mkristo anayeajiriwa kwenye viwanda vya bakhresa ni lazima awe mtaalam au na kipaji,wafanyakazi wa chini wote ni waaslam,tena ukiwa shombe hata huandiki maombi,nywele zako ndiyo CV ya kukupa kazi.Povu ruksa
 
Kama ni udini hakuanza kwake baada ya uhuru wakatoliki wakachukua nchi bwelelee
 
Mfumo kristo uliwaacha nyuma sana waislamu, sasa Bakhresa ni muumini mzuri wa hiyo dini wacha awasaidie ndugu zake na dini yake inamuelekeza kufanya hivyo.

Huyu Firdaus inamuhusu na vile vibira.
maneno yako mabaya sana

hayana hata harufu ya elimu wala busara


ww ndio wajua huyu ni wa Peponi na yule ni wa Motoni?!!!

acha kusema ovyo,huku ukiifurahisha nafsi yako pasi na utambuzi sahihi ndg
Allah atusamehe makosa yetu
 
Nyi wala nguruwe mna tabu sana,, kama bakhresa anazingua simuende kuomba ajira kwa Mengi au Mohmed enterprise, au kwa FIDA HUSSEN, au kwa manji, ,au la GSM, mna matajiri kibao ambao ni wakristo mnasemaga ,so kaombeni kazi huko kama VIP
Uko sahihi kabisa Mkuu...ni vizuri pia products/services zake aseme it is only for Islamic consumers. ..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…