UDINI UDINI!Wewe si ufate wanakouza hayo madude mradi wanafanya biashara halali usiwapangie mtaji ujawatafutia wewe pambana na hali yako.
Mbona Mzee Mengi kajaza watu wengi wa kusini pale ipp media mkuu,in fact hata wahindi walikuwa wengi sana pale.Kama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Hata kama nina udini au ukabila siwezi kuwa wazi kwa namna hii unayofikiri mkuu.alexelias
Mkuu ungekuwa na case study inayokuhusu wewe mwenyewe ingependeza zaidi kuliko kufanya generalization , kama ulifanya application kwenye moja ya kampuni zake na ukaambiwa we tumekuacha kwa ajili ya dini yako na mwenzio akachukuliwa kwa ajili ya dini uke ingependezza zaidi!
Wivu?unasema usilojua.mna wivu tu hakuna lolote
Huna haja yakuumiza kichwa kwakuwa ni kampuni binafsi..pambana nawewe ufungue kampuni yako uajiri wenye imani sawa na yako,ila naomba kujua kutoka kwako,ulipoenda kuomba kazi walikwambia hatukupikazi sababu wewe ni mkristo?au walikuuliza dini yako?pia hujaweka wazi ujuzi wako huenda huja qulifyBakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Uko sahihi kaka,lakini unakumbuka nssf ? Kulikuwa na tuhuma kwa dau kaajili waislamu wengi ? Kwa sababu gani ? Kwa sababu ilionekana idadi ya waislamu walikuwa wakiikaribia idadi ya wakristo,wakaunda tume kuchunguza lakini mpaka leo hawajatoa majibu.dau akatukanwa akaitwa kila jina la kifisadi lakini mpaka leo hakuna ushahidi kwamba dau alikuwa fisadi.Mkuu popote pale panapofanyika usaili wa kazi kwa kuangalia zaidi upendeleo wa aina yoyote ni lazima tupige kelele kupinga, ila kuwa ratio sijui asilimia ngapi kwa ngapi hiyo haihalalishi moja kwa moja kuwa kuna upendeleo kwenye usaili, kikubwa hapa pawe na hoja ya kuhalalisha hayo malalamiko yenyewe na siyo hisia badala ya fact, hata huyu aliyeleta hoja hii haijawa na ukweli kwa asilimia zote kwa sababu hajaja na uthibitisho wa kile anachokisema, ila hoja yangu imekuja kama kweli hiki kitu kipo maana ni kitu kinachoigawa jamii, na jambo jingine mkuu ni kwamba unapopinga ubaguzi wakati huo huo wewe unaufanya unakosa uhalali wa kupinga kile unachodai ni ubaguzi, tupingeni ubaguzi wowote mkuu iwe serikalini ama kwenye sekta binafsi, watu wapate kazi kwa sifa na vigezo vinavyokubalika na si vinginevyo
Neno kuntu hiloMwislamu ndugu yake ni mwislamu. Maandiko yanasema hivyo so jiongeze!
tuwekee ushahidi hapaWivu?unasema usilojua.
Sababu wislam asili yao ni biashara.Biashara ndio huleta kipato zaid. Hata Mtume( S.A.W) alikuwa akifanya biasharaNi sawa wameachwa nyuma lakini kwanini asilimia kubwa wenye mpunga ni Waislamu?
Siri ya mtungi aijuye....!
Yule mzungu aliitwa kafiri na waulize hao uliowataja hapo juu kuhusu hizo tuhuma ni kweli au la!
KUMBE INAUMA EEEEH ? NECTA WALIWABEBA SNA ENZI HIZO AND NOWADAYS KIBAO KIMEGEUKABakhresa group au Azam kama wengi wanavyoifahamu kampuni hii, ina udini sana.
Sehemu zao zote walikowekeza ili upate kazi kipaumbele ni lazima uwe unaabudu Islamic; kwanini?
Anzia kwa madereva wa maroli na gari ndogo ili upate kazi lazima uitwe Juma, Hamia, Hamis, Abdul, Aisha na majina fanani na hayo.
Viwanda vyote vya juice, biscuits na chocolate lazima uwe na sifa hiyo.
Hii si sawa kabisa, hivi hawa akina John, Eliakim, Annastazia na wengine wengi wakiamua kususia bidhaa zako itakuwaje?
Hata Rwanda sasa wameanza kulalamikia jambo hilo. Mfagizi tu wa ofisi eti lazima awe Islamic! Na hata sasa nasikia una boti inayotoa huduma kiislamu pekee.
Tambua bidhaa zako hazinunuliwi na waislamu pekee na acheni ubaguzi.
Umesema kweli dada. Nadhani kama ni kweli anachosema basi hata akina Mengi pia wameajiri kina John, Grace wengi na kina shirima, masawe kuliko kina Haruna na Kina FaridaKama haya malalamiko ni ya kweli hatari sana lakini ukiachilia Mbali Bakhresa Sekta binafsi kuna shida ya ukabila na Udini. Uwezi ukakuta kampuni ya mchaga wamejaa wazaramo hata siku moja. Msumeno ukate Huku na Huku
Ukitazama kwa picha kubwa utakuta hata makampuni yanayomilikiwa na wakristo wana tabia hiyo hiyo.tazama kwa picha kubwa zaidi. Utapata jibu.
Na IPP media umepata wakristo ni asilimia ngapi maana msitake kuangalia upande mmoja tu kama mnachokisema ni cha dhati na si cha unafiki tu wa uchonganishiKaribu $96 ya wafanyakazi wa Bakhresa group ni Islamic.
Duuuuh,hatareeSerikali ya Rwanda imeshalalamikia tayari huo ubaguzi!