Bakhresa, ex wife settle dispute

Ngoja nifatailie ukoo wangu inawezekana huyu dada ni ndugu yangu ..............
nikijieleza kwa muda wa mwezi mmoja anaweza kunielewa na kunifanya sehemu ya huo utajiri wake.......lol
Hahaha!!! Unaanza kufuatilia urithi mapema wewe nnunu hatari kabisa lol
 
Umeona kua haijamuathiri kitu, labda kama mahusiano yao yalikua mabaya but ni vitu ambavyo angeweza mpa hata willingly; i am not clear about the luxury speed boats..
Mimi iliyoniacha hoi ni hiyo Custom made Mecredes Benz thamani yake Tsh 289 Million
 
wadada ujumbe huo, wawindeni wanaume tajiri, mtatoka chapchap zaidi, nendeni kila usiku japo na hela ya kahawa au coca kwenye mahoteli makubwa, kama Holiday inn, Movenpick, Hilton na mengine mengi, msichoke ipo siku, msijali uzuri, ilimradi usiwe mnene, si unajua wenye pesa wanene? nawe ukiwa mnene hamfaidi kitu...
 
NN of course this is guy rich beyond believe i remember one of his son's who was participating in a Rally Championship in Zanzibar died in car crash in that competition, all his cars were custom made from the manufacturer, right now there is massive and huge construction of the ultra modern stadium for his team (Azam FC ) i wish you could see how the stadium will look like.

what??, sasa sikiliza naomba nikunon'goneze,

shiiii hii ni siri, je hauna contact zake,
naomba uniombee kazi ya u house gal tu,
mi ntaweza kutoa usaidizi mzuri sana kwa mkewe,....lol
usaidizi wa kupika na kufanya usafi tu.....lol

Hakikisha hii ni siri yangu mimi na wewe tu ........wana JF wengine wasiifahamu...lol
 
Ngoja nifatailie ukoo wangu inawezekana huyu dada ni ndugu yangu ..............
nikijieleza kwa muda wa mwezi mmoja anaweza kunielewa na kunifanya sehemu ya huo utajiri wake.......lol

pengine yuko hapa hapa janvini, omba msaada kwa invizibo
 
Mimi iliyoniacha hoi ni hiyo Custom made Mecredes Benz thamani yake Tsh 289 Million

Maybe kama nimeelewa vibaya I believe the Benz iko mkononi kwa B bado, but hata hivyo ndoa ya miaka minne unavuna vyote hivyo.... B next time atajiuliza mara mbili, inaonekana hana lawyers wazuri - huby angekua lazima kalazimisha binti a sign prenuptial agreement...
 
wadada ujumbe huo, wawindeni wanaume tajiri, mtatoka chapchap zaidi, nendeni kila usiku japo na hela ya kahawa au coca kwenye mahoteli makubwa, kama Holiday inn, Movenpick, Hilton na mengine mengi, msichoke ipo siku, msijali uzuri, ilimradi usiwe mnene, si unajua wenye pesa wanene? nawe ukiwa mnene hamfaidi kitu...

Asante kwa ushauri, tupo kuufanyia kazi... baada ya miaka minne nduki....
 
Maybe kama nimeelewa vibaya I believe the Benz iko mkononi kwa B bado, but hata hivyo ndoa ya miaka minne unavuna vyote hivyo.... B next time atajiuliza mara mbili, inaonekana hana lawyers wazuri - huby angekua lazima kalazimisha binti a sign prenuptial agreement...
Laywers naona nao watakuwa wamevuna mpunga wa maana
 
My dear Trust me,mtu yyte mfanya biashara hata akipoteza shilling 50,lazima imuume tu,in one way or the aza,itakuwa imemuumiza tu lazima,and its not about money its about the yrs they have been 2geza,miaka hiyo si midogo eti,mke/mume ambae asb ndo wa kwanza kukuona ukiamka na usiku wa mwisho kukuona ukiingia kulala + the good memories + the bad!binadam tumeumbwa na roho hatukuumbwa na pesa lazima uumie tu,hata Yesu alisema mwili ni dhaifu!,hakuna aseumizwa na mapenzi jamani hata uwe na pesa kiasi gani.
Wacha tu achukue after all hio kwa Bakheresa its just a nip in the bud....
 
The Finest, hello,
I would like to grasp the notion of your post right; was this matrimonial dispute settled under Tz or Kenyan laws? In case of Kenya, did she go to Kadhi court (nasikia mahakama za kadhi ziko huko) or civil ones.
 
Wakati watu wanatushawishi tusinunue juisi za south (Cereal) na arabuni (Maaza) ili tumuungishe mtanzania mwenzetu (juisi za Azam), kumbe yeye alimuungisha Mkenya! How ironic!
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom