The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,080
- Thread starter
- #81
Yeah!! Men Super Rich and Super HighHakuna ajuaye utajiri wake ukoje but Bakhressa is super rich
Yeah!! Men Super Rich and Super HighHakuna ajuaye utajiri wake ukoje but Bakhressa is super rich
Sio hapa bongo mdada anaachwa anarudi kwao visiga na kumuachia mume kila kituEx-wife ameondoka na assets za kutosha with all that money si mchezo
Duuh ndoa ya 4yrs mafao yote hayo?halafu huyu ni mke mdogo wa mombasa nini?dar atakuwepo mwingine,zenj yupo mkubwa kabisa!bora wa kweti bongo mkiachana anakuachia kila kitu anarudi kwao
Ukila andazi au chapati au sembe pale kwa mama ntilie jua asilimia kubwa inaenda kwa Bakhresa ,na bidhaa zake kwa hapa TZ ni kama Coca-Cola zinapatikana kila kona ya TZ,haya hata hizo Joti tu zimesambaa TZ yote,kitu kimoja mzee saidi kawasomesh watoto wake shule za nguvu na ndio wana manage hizo biashara wakisaidiana na wataalamu mbali mbali waliowaajiri kwa bei mbaya,hayo maji ya Uhai tu nayo ni no 1 katika soko la maji,jamaa wana mpunga si mchezo
Nafikiri mwanamke alikuwa tayari kashaona upepo unapoelekea na lengo lake alikuwa anajua ni niniKibaya zaidi jamaa hata hana mtoto naye,huyo mdada aliwaandikisha majina ya hizo mali ndugu zake bila jamaa kujua,na zingine alinunua kwa kutumia majina ya ndugu zake ,mdada(mkenya)alikuwa na lengo lake toka mwanzo nalo ni kuchuma alitoka familia ya kimaskini hadi kuwa tycoon,vijisenti unavyotoa kununulia lambalamba vilikuwa vinahamia mombasa kwa mtoto wa kiarabu maashalaa
Usijali ile hoteli kule Virgin Islands nimeandikisha jina lakokulalegi dahhhhhhh
mapenzi ya pesa kazini
Mkuu,Yeah!! Men Super Rich and Super High
hapo nakubaliana na wewe kabisamkuu,
yeye na tbl wanashindana number 1 ya ulipaji wa kodi. That shows you how wealthy he is. ila jamaa hufanya mambo kimya kimya.
Hahaha vipi mkuu mbona umesema kiunyonge lolHaya bwana.