Bakhresa alijenga ofisi ya CCM tawi la Masaki RC Makonda anajenga ofisi za wilaya ya Kinondoni, CCM haikumbatii umaskini

Kama kunyang'anya ni rahisi nenda na wewe!
MEKUWEKEA HIZI LINK MBILI HAPO CHINI HEBU JIELIMISHE, ALAFU JIULIZE KAMA HAWA WANA BARAKA AU KAMA DUA ZAO ZITAKUFIKIA KWELI


Jews for Jesus: Sharing Our Faith in Jesus as Messiah to our Jewish People › answers
Why Do Most Jews Not Believe in Jesus? – Jews for Jesus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ko chadema wakijenga ofisi kila sehemu matatz y watz yatakuwa yamekwisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ilivyojenga shule na Vituo vya Afya kwenye kila Wilaya matatizo ya watz yaliisha? Mbona leo bado mnalalamika watoto wanakaa chini? Kwani nchi nzima watoto wanakaa chini?

Kwahiyo linalowezekana kufanyika lifanyike bila kujali litagusa watu wangapi? Kumbukeni ruzuku wanayopokea Chadema ni kodi zetu kwahiyo tunahaki ya kuhoji na kushauri matumizi sahihi. Utumie ruzuku kupanga wakati una uwezo kujenga. Hayo ni matumizi mabaya ya kodi zetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
johnthebaptist,
Davido alitoa cheki ya 100m na akapigwa picha jamaa anakabidhiwa na bado inadaiwa kuna fungu lilitengwa kujenga nalo pia lilipigwa. Kifupi ni kwamba kama hauko biased huwezi kuridhishwa na mwenendo ulio kule ndani Chadema..
Kikubwa nilichojifunza ni kwamba CDM wana Praise team kali kuliko CCM maana wakianza kutetea uozo huwaashindi
 
Hakuna anayebisha kuwa CCM ni chama kikongwe
tapatalk_1561741081649.jpeg
FB_IMG_1575386620362.jpeg
FB_IMG_1575386649242.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
..kweli cdm inapokea 300 million.

..lakini ccm inapokea mara 4 ya wanachopewa cdm.

..kwa hiyo ccm wanapokea 1.2 billion kwa mwezi.

..zaidi MATAJIRI WAKUBWA wanawachangia.

..pia makada wa ccm wanalipwa na serikali kwasababu ccm ni CHAMA DOLA.

..sasa 1.2 billion za ruzuku wanayopewa ccm inatumika vipi? Kwanini isisaidie masikini vijijini?
Acha kuongea uongo kwa ajili ya kutaka kujustify hoja yako. Lini makada wa CCM wamelipwa na Serikali?

Kuilinganisha ruzuku wanayopokea CCM na Chadema eti ndo hoja ya CDM kutokua na mradi wowote wa chama unakosea sana. Hoja hapa ni kila chama kifanye shughuli zake kulingana na fedha inayopokea. Mathalani CCM ina majengo ya Ofisi zake katika kila Wilaya na mkoa hata kama nyingine zilitolewa kwa msaada. Lakini CDM kwa ruzuku inayopokea ingejenga hata jengo moja tu la makao makuu yake halafu hizo Ofisi zingine waseme hawawezi kutokana na ruzuku kuwa ndogo, atleast watu wangewaelewa.

Lakini hao hao CDM wana magari kibao ya M4C wanajua walipoyapata, sasa wameshindwa kutumia hizo njia walizonunulia kujenga Ofisi ya makao makuu yao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom