National Audit Office wao ndiyo wana jukumu la kukagua Hesabu zao,ila Hawana Ruhsua ya kutoa Ripoti ya ukaguzi kwa Public,na sijui hii ni sheria ya wapi??Mimi tatizo langu ni kwamba nani anawafanyia auditing USALAMA ?
Unaweza kuwa na bajeti kubwa ama ndogo na hela bado zikaliwa. Mara nyingi Serikali ikianzisha idara kwa sheria mpya, basi ile sheria ina kipengele kinachosema fedha watazopewa watapeleka ripoti ya matumizi katika muda fulani, na fulani atawafanyia ukaguzi wa hesabu, na kadha wa kadha.
Cha kusikitisha ni kwamba sheria ya kuanzisha TISS ya 1996 haisemi jinsi hela zao zitakavyo kuwa accountable.
Hapo ndipo ufisadi unapofanyika sasa.
Halafu kitu kingine, hicho kiasi cha fedha nani ameridhika kwamba wanakihitaji, Mkullo? Ilibidi Rashid Othman aende sehemu, Bungeni au kwingineko, kuomba na ku justify kupewa hizo hela.
Ukiachilia mbali ile idhini ya mwisho ya Bunge, mi nauliza, bajeti ya Tanzania inaandikwa na nani? Ni Mkulo peke yake ndio anagawanya pesa za Serikali? Nani anaamua fulani apate nini, na kwa vigezo gani, na anaombwa wakati gani, mbele ya kikao gani?
Hivi hawa usalama wa taifa hasa ni nini?mbona hatuoni kazi zao?au ndio kuwa erase akina balali na chifupa na kuhakikisha ccm inashinda kwenye every election.
Cheers.
Sumu.............. ngoja tuone
Wazee wa Usalamaa.....walishazoe kuimbwa katika band.yes mie siogopi kima yeyote na huwa nawaambia,watumie mapema ila hivi karibuni ndiyo mwisho wao.Hapo mtawakoma mitaani! Kwi kwi kwi!!!
Sheria madini haiwezi kubadilika kama haiwezi kukidhi mahitaji ya Siclair.he was clear kwamba wao watafaidika na washikaji zake kabla jogoo hajawika maneno yake yamekuwa ya kweli kwamba madini sasa wao watapeta na sisi tutalia .
Katika juhudi za kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani, Serikali, kupitia TRA,imefanya uchambuzi wa misamaha ya kodi kwa lengo la kuipunguza ili kuokoa mapato ya Serikali. Uchambuzi huo umebaini kwamba misamaha yote ya kodi inatolewa kwa mujibu wa Sheria. Sehemu kubwa ya misamaha
inatolewa kwa wawekezaji katika sekta ya madini chini ya Sheria ya Madini na Mikataba husika, wawekezaji katika sekta nyingine wanaopewa Hati za Vivutio kupitia Kituo cha Uwekezaji (TIC) chini ya Sheria ya Uwekezaji.
Kundi lingine linalofaidika na misamaha ya kodi ni lile la Mashirika ya dini na asasi zisizo za Serikali, na hasa zile zinazotoa huduma kwa ajili ya maendeleo ya jamii. Hata hivyo, kodi zinazosamehewa kwa kundi hili zinalipiwa naSerikali kwa utaratibu wa Hati ya Hazina[/B]
Wazee wa Usalamaa.....walishazoe kuimbwa katika band.yes mie siogopi kima yeyote na huwa nawaambia,watumie mapema ila hivi karibuni ndiyo mwisho wao.
Unajua Usalama kumejaa Vilaza na watu wa ovyo sana wasiyo na mawazo endelevu thus why we always dont here any breaking News from them.wapo kama masanamu
Gembe,
Soma tena kipengere cha mwisho kwa utulivu ( btw the lines) utakuta neno kundi hili linarejea kundi la mashirika ya dini na sio makampuni ya madini.