Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,298
- 46,756
Atleast ulipwe kaisi gani sana ndo uishi hapo daslamu vizuri??Sema kwa hapo Daslama, hio 400k ni hela ndogo sana. Na kama ndo umesoma na umepata ajira hizi formal kabisa, 400k wont suffice you. Labda kama upo daslama ndani ndani huko, Vikindu, Malamba mawili, Wazo Kisanga and the likes