Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Mbezi ya kimara kwa hio 500k unakaa kibosi sana mkuu, per month hio ni kodi kubwa sana.
Mkuu Nimetolea Mfano tu!
Mi naishi kimaskini sana hata hiyo 200k kwangu ni pesa kubwa sana..
Na hata 50k tu naiona kama milioni..

Ila kulimgana na maisha Hakunaga percent ya matumizi Just tu usitumie kuzidisha kiasi unachoingiza
 
Blessed is the hand that gives than the hand that takes.
Shida watu wakisikia Sadaka wanadhani ni kutoa kanisani..
Tafuta watu wemye shida wape pesa tenga hata 200k kwa mwezi tafuta watu wenye matatizo wape hiyo pesa, Nunulia watu chakula,saidia shida za watu kwa hiyo pesa..
Nakuahidi itarudi mara mbili yake
 
Unatoaje sadaka ya ef 40 na huku unajitafuta? Yaani 10% ya Mapato unatoa sadaka, hata Mungu atakushanga. Hapo inapaswa iwe ef 10 tu kwa mwezi. Ibada 4 kwa mwezi kila ibada jero sadaka so unaupa Msikiti/kanisa Ef 2 kwa mwezi. Ef 8 ni ya ombaomba. Kama una route ya kwenda kazini, njiani unakua na jero au buku, unakua unampa huyo omba omba mpaka itapoisha. Usimpe yote at once.

Kodi ya ef 80 ni kubwa mno, labda kama uko dar, ila mikoani room ya 40, ni standard kabisa.
 
Sasa kwa mfano dar Nyumba ya Familia hupati bila kuwa na 500k au zaidi..
Lets say Kipato changu ni 2.6M..
20% ni 500k..
Na ni nyumba ya kawaida sana..
Hiyo maybe kama unazungumzia mtu bachelor na sio mwenye Familia kweli inafanya kazi
Hata yeye amesema ukiwa peke yako
 
Unatoaje sadaka ya ef 40 na huku unajitafuta? Yaani 10% ya Mapato unatoa sadaka, hata Mungu atakushanga. Hapo inapaswa iwe ef 10 tu kwa mwezi. Ibada 4 kwa mwezi kila ibada jero sadaka so unaupa Msikiti/kanisa Ef 2 kwa mwezi. Ef 8 ni ya ombaomba. Kama una route ya kwenda kazini, njiani unakua na jero au buku, unakua unampa huyo omba omba mpaka itapoisha. Usimpe yote at once.

Kodi ya ef 80 ni kubwa mno, labda kama uko dar, ila mikoani room ya 40, ni standard kabisa.
Mkoani kuna advantage zaidi
Gharama zinaweza kuwa chini zaidi

Hela unayookoa kwenye matumizi mengine ongeza kwenye akiba

Ili baada ya mwaka uinvest
1.5m ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom