Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

Samahani, kuna utofauti gani anaupata mtu anaewekeza utt tofauti na anaeweka bank kawaida
Bank sasa inategemea na account gani.
Kama ni saving acc zile za kawaida zina makato ya kibenki.

Utt hamna makato ya aina yoyote. Na pia unapokea riba ya 1% kwa mwezi ya ile pesa iliyopo kwa mfuko wako.

Bank pesa kuidokoa na ukaitumia pasipo na umuhimu ni rahisi sana. Ila UTT hamna huo urahisi so ni nzuri kwa saving.
 
Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae

100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine

Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini

Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako

Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa

Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja

Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi

Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana

Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze
Sadaka? 40,000?
 
Watakao zingatia ushauri hasa pamoja na kipengele cha 10% ya mshahara kwenda kwenye sadaka watatoboa haraka
 
Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae

100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine

Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini

Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako

Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa

Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja

Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi

Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana

Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze

Hii nidhamu ukiiweza utaenda mbali, ila sio rahisi kiuhlisia.
 
Bank sasa inategemea na account gani.
Kama ni saving acc zile za kawaida zina makato ya kibenki.

Utt hamna makato ya aina yoyote. Na pia unapokea riba ya 1% kwa mwezi ya ile pesa iliyopo kwa mfuko wako.

Bank pesa kuidokoa na ukaitumia pasipo na umuhimu ni rahisi sana. Ila UTT hamna huo urahisi so ni nzuri kwa saving.
Malizia utt Haina tax on profit.
 
Liquid fund.
Kufatilia pesa hamna usumbufu hata kidogo. Unajaza form, siku 3 za kazi pesa utaiona kwa bank yako.
Hapo sawa mkuu so nimeona pia kwamba huwa kuna appreciation na depreciation ya thamani ya units.. Vp sasa mtaji wangu unahakikishiwaje usalama?
 
Hii rule inaitwa 50/30/20 naikubali sana
 
Attachments

  • images.png
    images.png
    25.9 KB · Views: 19
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    36.4 KB · Views: 19
Back
Top Bottom