DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 13,902
- 31,156
hapo hapo mtu anapata na savings kwenye hela ambayo wewe umesema hio ni kodiLaki nne ni ndogo sana Kodi tu 400k 🤣🤣
hapo hapo mtu anapata na savings kwenye hela ambayo wewe umesema hio ni kodiLaki nne ni ndogo sana Kodi tu 400k 🤣🤣
Mkuu naomba maelezo kidogo hapa kwenye utt amis vipi ni segment gani ni nzuri zaidi kuchagua unapoweka?Kianzio 100k baada ya hapo 10k na kuendelea
Kwa hiyo pesa bado unapiga hesabu za sadaka tena? yaani hapo hata kula yako itakuwa ni ya kuunga unga tu. Ni vyema kwa hiyo pesa usipie hizo hesabu za kuinvest kwanza, kwani utaishi kwa taabu sana. Hizo hesabu utazianza ukishakuwa stable kwenye kipato chako. Yaani hata wazazi hutokuwa unawatumia hata 50K kwa mwezi, na bado umetenga 40K ya sadaka?. Huna hata bwana wadogo watakupiga hata mizinga ya vocha tu?
Pendekeza mkuu
Kwenye 400k
Ndugu unashauri tuwape sh ngapi
Na kuvaa tuweke bajeti kiasi gani
Tupunguze item gani
Ukiwa kwenye hichi kipindi, unahitaji nguo chache nadhifu ambazo utavaa jwa kipindi kirefu
Hela unayoweka akiba inagawanyika mara mbili
50% Emergency
50% Investment
Kama huna bima, ugonjwa ni dharura
Bajetiii ni kwamba unaish singo mkuu. Subiri uwe na spouce au spouces na watoto au na tegemezi wengine.Ukiwa unalipwa 400k na huna familia, yan home alone
Mchanganuo pendekezi huu hapa
Utanishukuru baadae
100,000 Akiba (weka utt)
40,000 Sadaka
80,000 Kodi ya nyumba
80,000 chakula
50,000 usafiri
50,000 mahitaji mengine
Sadaka,
unamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwapa wahitaji au popote unapoamini
Kodi
Haipaswi kuzidi 20% ya kipato chako
Chakula
Haipaswi kuzidi 20%
Hemea kwa jumla
Weka stock ya vyakula kama dagaa, hulali njaa
Usafiri
Panga karibu na eneo la kazi
Au sehemu ya gari moja
Akiba weka utt
Ukifikisha hata 600,000, weka mpunga stock, ni gunia kumi hizi
Lazima uwe bahili hasa, nidhamu sana
Ongezea kama kuna kitu nimeacha
Au tupe uzoefu zaidi tujifunze
Labda ukapange nje ya mji kama vikindu huko lakini mjini kama Magomeni,Sinza,Ilala n.k hapo hutoboiKodi 20% hahaha
Hauko serious Mkuu 🤣🤣
Kodi Dar Ni ghrama sana
Goba unapata nyumba kubwa na nzuri kwa hiyo pesaSasa kwa mfano dar Nyumba ya Familia hupati bila kuwa na 500k au zaidi..
Lets say Kipato changu ni 2.6M..
20% ni 500k..
Na ni nyumba ya kawaida sana..
Hiyo maybe kama unazungumzia mtu bachelor na sio mwenye Familia kweli inafanya kazi
Liquid fund.Mkuu naomba maelezo kidogo hapa kwenye utt amis vipi ni segment gani ni nzuri zaidi kuchagua unapoweka?
Vipi wakati unatoa pesa yako hakunaga mashaerti mengi mengi kama kufatilia nccf?
Lete mapendekezo mkuu wote tuna jifunza hapaKwa hiyo pesa bado unapiga hesabu za sadaka tena? yaani hapo hata kula yako itakuwa ni ya kuunga unga tu. Ni vyema kwa hiyo pesa usipie hizo hesabu za kuinvest kwanza, kwani utaishi kwa taabu sana. Hizo hesabu utazianza ukishakuwa stable kwenye kipato chako. Yaani hata wazazi hutokuwa unawatumia hata 50K kwa mwezi, na bado umetenga 40K ya sadaka?. Huna hata bwana wadogo watakupiga hata mizinga ya vocha tu?
Of koz ni kwa ajili singo, tena home aloneBajetiii ni kwamba unaish singo mkuu. Subiri uwe na spouce au spouces na watoto au na tegemezi wengine.
Waajiriwa wapo madaraja tofautiKuna mwenzako ameanzisha uzi kuwa waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara.
Sasa wewe muajiriwa kwa mwezi pesa ya kula unatumia elfu 80 sasa hapa c utakuwa unakula mataka taka?
Ukisha fungua, kuna baadhi ya mifuko unaweza weka hadi 10kHivi kumbe UTT unaweza kuweka mpak 100k mi nilijua kuanzia 1m
Pitia website yao kupata uelewa mpanaMkuu naomba maelezo kidogo hapa kwenye utt amis vipi ni segment gani ni nzuri zaidi kuchagua unapoweka?
Vipi wakati unatoa pesa yako hakunaga mashaerti mengi mengi kama kufatilia nccf?
Mwenge mataa hapo opposite na efatha unapata chumba cha 50k, mabibo pale unapata kwa chumba 60k, kigogoLabda ukapange nje ya mji kama vikindu huko lakini mjini kama Magomeni,Sinza,Ilala n.k hapo hutoboi
Hao wanaolipwa hizo pesa ni wachache sana tofauti na hawa wa madaraja ya chini.Waajiriwa wapo madaraja tofauti
Kuna wanaoanza na mshahara 1.2m huyu hatateseka sana kama wa 400k
Kuna wanaolipwa 6m, 10m+
Kwa hiyo inategemea, alikuwa anaongelea wa ngazi ipi
Yeah nimeona Hapa na details Zake hizi hapa..Ukisha fungua, kuna baadhi ya mifuko unaweza weka hadi 10k
Ila risk takers hawawek hela humo. Weka humo kama back up na sio source of income.