Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 15,009
- 35,511
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kurahisisha kwann usipande fuso uende wewe upunguze gharama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Kurahisisha kwann usipande fuso uende wewe upunguze gharama
Unaguna nini mama?
570,000 tu ? Mbona ndogo.. michepuko ni gharama sana, bora kubaki njia kuu..Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Riverside naupata kwa buku 5.
Share location mzee..Kuna mahala napata kwa buku moja tu
Kwani umefulia hadi uache wa buku tano utake wa bukuShare location mzee..
Mambo hayaendi mzee. Maisha magumu.Kwani umefulia hadi uache wa buku tano utake wa buku
Kwamba utelez ni ule ule? Si kweli mbona mngekua mnatulia mahala pamoja.Unaguna nini mama?
NI ule ule ila ladha tofwautiKwamba utelez ni ule ule? Si kweli mbona mngekua mnatulia mahala pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nimekuelewaNI ule ule ila ladha tofwauti
Kishingo upandeHapo nimekuelewa
Wala, sababu najua pia hayo makitu ni tofauti ndio mana wanaume wengi hawatulii sehemu moja.Kishingo upande
Kwenye mapenz kutulia ni maamuzi ya mtu, hata nyie mnatupanga sanaWala, sababu najua pia hayo makitu ni tofauti ndio mana wanaume wengi hawatulii sehemu moja.
Upo sahihi nakubaliana na wewe.Kwenye mapenz kutulia ni maamuzi ya mtu, hata nyie mnatupanga sana
SikupingiUpo sahihi nakubaliana na wewe.
Ila zinatofautiana harufuUngejua ladha ya k ni ile ile hata usingejitesa hivyo
Huyo hata kupiga nae game ngumu, ndo hawa wahuni wanaowakata mashine waume zaoHujakutana na mwanamke anakunywa beer 12 na mguu wa mbuzi peke yake. Huo ni mlo wa mara moja.