Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,814
- 95,726
Sio kweliHuyo hata kupiga nae game ngumu, ndo hawa wahuni wanaowakata mashine waume zao
Sio kweliHuyo hata kupiga nae game ngumu, ndo hawa wahuni wanaowakata mashine waume zao
60000 kwa siku tatu,, nadhani labda walikula chips
Hatari! Sii mchezo watu wanamwaga hela. Dah ila ukija piga hesabu hawa wanawake magelofrend wanatula hela nyingi yaani siku kuu laki mbili imeenda wakati hiyo nagegeda wanawake wanne kwa buku 50.Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Hatari majuto kama yote unaanza kusema sii bora ningepeleka hela nyumbanai wazazi wafurahiUshamba wa punani unatesa sana ni aibu, apo ukikojoa mara ya kwanza tu unaanza kujutia hela yako
Kwa style hii wacha niendelee na chaputa ya mlenda vugu vugu
kwakweli, hata me naonaNdio Maana Nimesema Wanawake Wana Huruma Sana.
Mbwembwe zote ukifika unapiga kimoko chali unaanza kujilaumu hapo bado hujakuta demu ana nuka uchi😂😂😂😂Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Hiyo bajeti ya tofali karibia 500 ama mifuko ya cement isiyo pungua 30,ama Nondo za 12mm zisizo pungua 15, Anakula yote michepuko 🤸🤸Kumtoa Arusha Kuja Dar Tsh 80,000/=