Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,761
- 62,786
ila we mtu jamani dah😶, nmechekaa sana aisee 🤣🤣🙌wakati kuna mtu huko anapewa yooootee....😂 na lishangazi....na pesa juu😂
kweli tunatofautiana.
ila we mtu jamani dah😶, nmechekaa sana aisee 🤣🤣🙌wakati kuna mtu huko anapewa yooootee....😂 na lishangazi....na pesa juu😂
kweli tunatofautiana.
aisee,Uyo Mwanamke Ana Huruma Sana Kwa Budget Hiyo Ilivyobana Na Penzi Anakupa.
Baada ya bao la kwanza utaanza kujuta hadi uitamani CHAPUTAKumtoa Arusha Kuja Dar na kurudi Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Nasubiri comment ya mwamba hahah.kwani dronedrake anasemaje khs hili?
Atakwambia baby care au vaseline, budget haizidi buku..kwahiyo chenji 599,000 anainywea yoote dagi 😂Nasubiri comment ya mwamba hahah.
Mbona hata 15,500 inatosha jamani[emoji23]Chakula elfu 60 kwa siku 3 mmekula chips mayai na maji? Very boring
dronedrake atasema bora kujichukulia sheria mkononikwani dronedrake anasemaje khs hili?
Usione vijana wanapendeza tu[emoji23]ila we mtu jamani dah[emoji55], nmechekaa sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji119]
Ulichoandika Ndio Mwisho wa akili yako au ?Kumtoa Arusha Kuja Dar na kurudi Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Hujakutana na mwanamke anakunywa beer 12 na mguu wa mbuzi peke yake. Huo ni mlo wa mara moja.Mbona hata 15,500 inatosha jamani[emoji23]
Hii pesa naingiza kwa siku acha niitumie kesho nitapata tenaKumtoa Arusha Kuja Dar na kurudi Tsh 80,000/=
Kulala Nae Siku Tatu Tsh 150,000/=
Chakula Kwa Siku Tatu 60,000/=
Kumrudisha Arusha Tsh 80,000/=
Kuhonga Tsh 150,000/=
UBER 50,000/=
JUMLA Tsh 570,000/=
Wanaume kweli umeshindwa kuweka bajeti ya 100,000/= ukaenda zako Masaki au Kidimbwi ukapata pisi kali?
Msingi kiuno na gym 😂Usione vijana wanapendeza tu[emoji23]
Mwenyewe nimeshangaaChakula siku 3 elfu 60??? Yuko kwa diet?
Chips kuku ya kitaa hiyo sio hotelchipsi kuku si 5000 😂 au nini kingine mnakulaga😂
usione vyaelea sio?😆Usione vijana wanapendeza tu[emoji23]
Si atatapika kwa hizi shoo zetu za kibabe[emoji23][emoji1544]Hujakutana na mwanamke anakunywa beer 12 na mguu wa mbuzi peke yake. Huo ni mlo wa mara moja.