Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Kwanza hizo ni pikipiki za kubebea wajawazito lengo ni kupinguza vifo vya vyao wajawazito. vifo vimepungua kama wanavyo twambia sasa shida iko wapi?
Mimi sijawahi hona ikibeba wajawazito.
 
kwa hyo tukiwachagua safari tena, hizo ahadi zai watatekelez mwaka 2020 october sio?
 
etiiiiiiiiiiiii................. haya mambo yametokea tanzania?................. ndiyo JK aliyoahidi??? naomba mnionyeshe njia ya tahrir square................. please!!!!!!!!!

Mkuu umetisha.
 
Back
Top Bottom