Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 222
Hivi hizo bajaj zina uwezo wa kuhimili mikiki na mihangaiko ya uchungu wa mama anapotaka kujifungua???
......................................................
yaani hao walioapprove huu mradi utadhani hawajawahi kumuona mjamzito mwenye utungu anavyhangaika............. ina maana hao waliokubali zinunuliwe hawakuwa na mwnaamke japo mmoja anayeijua vizuri shughuli ya kujifungua ilivyo?........ si wangewauliza wakina mama wenyewe watoe maoni kwanza kabla hawajakurupuka?......... jamani nina hasira hapa, nyie acheni tu!............... naungana na aliyesema kuwa tanzania tunalo janga fulani la kitaifa la uongozi ........... khaaaaaaaaaaa.................