Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Huu ni mfano wa kauli za kisiasa sana, nashukuru mungu viongozi wetu wamelenga kupunguza vifo vya akina mama na watoto na kwa hili siasa zitaachwa. Kuna watu wanachofikiri wao ni jinsi gani Slaa atakuwa rais wa nchi hii tu.


Pandikizi lingine la chama cha mafisadi/majambazi jamvini.
 
Huu ni mfano wa kauli za kisiasa sana, nashukuru mungu viongozi wetu wamelenga kupunguza vifo vya akina mama na watoto na kwa hili siasa zitaachwa. Kuna watu wanachofikiri wao ni jinsi gani Slaa atakuwa rais wa nchi hii tu.

embu usitake kutuchefua hapa,kwa macho yako mawili hizo bajaji zitapunguza au zitaongeza vifo?sijui umelipwa shing' ngapi aliyekutuma mwambie siku zake zinahesabika HATUDANGANYIKI sie sio vipofu eboh!:embarassed2::ballchain:
 
kwa kwel msiopenda mageuz mtaumia cna bt ukwel utabaki kua tz hii y leo haitokubali kuendelea kuwa hv n lazima lifanywe jambo
 
HIivi Tanzania huu usanii uatisha lini, ni kweli aliyetoa bajaj hii yuko serious, au ndio tumeishiwa ubunifu. kama ni fesha kidogo kwa nini wasingefanya ununuzi wa magari ya wagonjwa kwa awamu. haya bajaj hii kama kule aliko babu (Loliondo) inafanya kazi kweli,Hiko siku tutachapana viboko, inauma kwa kweli
 
Nduka fikiria kabla ya kukomenti,nadhani kuna watu wanapenda kufurahisha genge.kama umetumwa au ndo umepewa mradi waambie tuko macho hatujalala na hatutakuruhusu wewe BUNDI utue juu ya bati!iko cku uchakachuzi utafeli na huyo slaa au mzalendo mwingine halisi atashika hatamu
 
Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii picha ikionyesha moja ya zile Bajaji zilizotangazwa na viongozi mbali mbali wa CCM kuwa zimetolewa kwa ajili ya kuwasaidia akina mama wajawazito,
1. Ebu tuambiane je kuna yeyote ameishawahi kukutana na bajaji hii ikitoa huduma hiyo? maana kiuhalisia kwa muundo zilivyotengenezwa ni shida kutoa huduma kusudiwa

2. Kama zimetolewa na haziwezi kutoa huduma kusudiwa ni nani amewajibika kwa ufisadi huu?

BAJAJI ZA KIKWETE NA CHANGAMOTO ZA KUKATALIWA NA WAJAWAZITO NCHINI. HAZINA UWEZO WA KUKATA KONA UPANDE WA KUSHOTO WA ANAYEENDESHA





 
Ninyi MALOFA WAPUMBAVU hamstahili V8!!! Mashangingi ni kwaajili ya wakubwa tu... Over!
 
Mbona Chadema wameleta ambulance hiece za mitumba halafu hawataki kuzikabidhi kwa hospitali zetu?
 
Tehteh teeerrrrrh!Eti ambulance?Kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi..
 
Hapa ni ktk uzinduzi wa bajaj ya kubebea akina mama wajawazito wakati wa uzazi.Gharama yake ni dola 5900 (8.5milioni).Nikikumbuka vema hii ilikuwa ahadi ya mgombea wa ccm kuwa akichaguliwa ataleta bajaj kuondoa kero na vifo vya wajawazito.Wengine tunaiona kama guta,sijui wana jamii forum-tunalipokeaje hili!Itakidhi haja
View attachment 24728

Sijawahi kuiona nchi yeyote ile duniani! Bora machela! Kwa barabara za vijijini mashimo yalivyo mengi si watajifungulia njiani!
 
Wacheni ushamba.hakuna jinsi bajaji za nini kama vipi nendeni kwa wakunga
 
laa hili wazo katoa Rais wa nchi au mwanafuzi Wa chekechea. nchi kama imetoka vitani miaka 30,
 
Hizi bajaji nyingi zinaozea kwenye vitu vya afya,CAG angefanya Ukaguzi kuelezea ufanisi wa hii kitu.Ni kama powertiller zilivyonunuliwa na kuonekana hazifai
 
Hizi bajaji nyingi zinaozea kwenye vitu vya afya,CAG angefanya Ukaguzi kuelezea ufanisi wa hii kitu.Ni kama powertiller zilivyonunuliwa na kuonekana hazifai

Kwanza hizo ni pikipiki za kubebea wajawazito lengo ni kupinguza vifo vya vyao wajawazito. vifo vimepungua kama wanavyo twambia sasa shida iko wapi?
 
Utafiti haukufanyika vizuri ila wazo lilikuwa zuri ndio maana ufanisi wake haukuleta matokeo yaliyo tegemewa
 
Back
Top Bottom