Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Bajaj ya wajawazito - Ahadi imetimia!

Barabara ya Makongo Juu ilivyo na mashimo hapo mjamzito lazima ajifungue njiani! ....Sasa imagine barabara za vijijini itakuaje ukizingatia na umbali wa vituo vya afya ?

afadhali hata ya makongo, hivi za kimara, mbezi, kibangu nk ulishaziona zilivyo? hii serikali kweli ina vichwa!!! yaani hadi nimeshangaa!!!
 
Zaidi ya 95% ya waliotoa maoni wamepigwa na butwaa na kilichozinduliwa na namna kitakavyotumika ktk mazingira yetu!!kwa wale ambao bado hamuamini naomba niwape picha nyingine ya hicho kiguta.Anayezindua ni waziri jamani huku mganga mkuu wa serikali nae alikuwepo kushuhudia!!!!
waziri wa Afra.JPG
 
Zaidi ya 95% ya waliotoa maoni wamepigwa na butwaa na kilichozinduliwa na namna kitakavyotumika ktk mazingira yetu!!kwa wale ambao bado hamuamini naomba niwape picha nyingine ya hicho kiguta.Anayezindua ni waziri jamani huku mganga mkuu wa serikali nae alikuwepo kushuhudia!!!!
View attachment 24755

maajabu yanaendelea!!
 
Upuuzi mtupu!! what is Bajaj na njia zetu hizi, sio suala la ku-appreciate udhalilishaji wa namna hii, yaani others are planning and thinking more higher sisi tunanunua Bajaj? what the hell is this? should I appreciate kwa sababu tu eti ni ahadi imetimizwa!! what waz the value of that ahadi? hata kama inanidhalilisha nipige tu makofi kwasababu imetimizwa? No am not that cheap!!! SISHABIKII UPUPU
 
This is a very shocking story!

mawazo mgando:

1. Mvua ikinyesha, mgonjwa atalowa na mimba yake.
2. MGONJWA AKIZALIA NJIANI, INABIDI ITAKUWAJE?
3. Miundombinu duni, kumuumiza mgojwa.
4. mambo ya kuiga, akili za mbayuwayu, eti South Africa zinatumika; sasa unacompare S/africa na Tz wapi na wapi.
5. Ajali, mgonjwa aliyelala hana ujanja wa kuruka au kujitetea ikitokezea ajali.
6. Pikipiki ndio zinaongoza kwa kuua abiria wengi hapa bongo.
7. Vumbi la barabara, hata zile za lami zina vumbi la kuua mtu, kumzidishia mgojwa maradhi.
8.kutojua uchumi, Noah inauzwa mil. 9 tu, zingeweza kufaa zaidi.
9. Mgonjwa hana helmet, ikitokea ajali atapasuka kichwa.
:blah::blah::blah::blah::blah: za CHICHIEMU
 
Umekosea kichwa cha habari, hili ni GUTA new model.

Kweli CCM ineleta masihara kwenye sensitive ishuz.
 
Ananitia hasira hata kama ni maskini mke wko kubebwa hapo si udhalilishaji,,,,,,,,,,,,hivi stalet used si m4-5,si ni bora kuliko huo upuuzi nasema wete waliopendekeza wana naslai na hii kitu,,,,,,,,vichwa box,,,,,hi hii si itaongeza na vifo vya madereva na manesi nyie ntaniambia tu,,,,,,,,,,,,,afadhali na komed ya kina masanja inachekesha hiii ni kali inatoa machozi nchi zilipotoka yaani wanatucheka sio siri hii nikomed
 
etiiiiiiiiiiiii................. haya mambo yametokea tanzania?................. ndiyo JK aliyoahidi??? naomba mnionyeshe njia ya tahrir square................. please!!!!!!!!!

Wakikuonyesha unipitie please!
 
attachment.php

Naona muda wa kula ban unaninyemelea ngoja ni sepe....

KWENYE Kona kushoto atakataje?
Wanawake wanene ka bi salma ataenea kweli au
demo alifanyiwa small house??
WATZ amkeni kumekucha tunakoelekea tutaletewa pipi
tena za vijiti ili tusipige kelele.
 
Naandamana peke yangu mtanikuta mbele. Ni ulaji wa wazi kabsaaa! Itapita wapi na miundombinu yetu hii?
 
huuu ni usengge kweli aibu kwa taifa....ati bajaj
 
Shanature,wao watasema PPRA inakataza govt. Kununua vitu used,wanatakiwa wanunue vipya!alazwe hapo b salma na ujauzito kama ataenea,what a shame?
 
maajabu yanaendelea!!

haya ndo matokeo ya upumbavu wa serikali yetu wa kutunga sheria kwa kutumia makalio badala ya upstairs: sheria ya manunuzi inaruhusu kununu pkpk ya mchina kwa sh milion 8, lakini hairuhusu kununua hiace au toyota noah used kwa sh mil 10. Shame upon them.
 
Nani lisema Bajaj hazifanyi kazi? Inahitaji ubunifu kwa kila jambo!


Main.jpg
attachment.php

Motorcyclist moving along in style on Dar es Salaam`s Ali Hassan Mwinyi Road yesterday – but very likely contravention of traffic regulations! (Photo: Selemani Mpochi)
Picha kwa hisani ya IPPMedia
 
Naona watanzania na viongozi wetu tumekuwa vichaa kabisa! Hivi aliyetengeneza gari kama ambulance hakuwa na akili? Maana lenyewe lina alerting system lipishwe lipite limuwahishe mgonjwa hospitali na lina kuwa na wa saidizi wake(nurses). Kwanini wanunue bajaji badala ya ambulance ziliyokamilika na vifaa vyote vya huduma, maana mjamzito huweza kujifungua hata kabla hajafikishwa sehemu husika akiwa njiani! ambulance ni tinted na kinachofanyika ndani huwezi kuona, sasa mama akianza kujifungulia njiani si umati utakusanyika kujionea kinachoendelea? Kweli ni akili hii ya kuwaletea wananchi wako bajaji wakati mawaziri na wabunge wananunuliwa mashangingi kwa hela nyiiingiiiii ambazo tungeweza kupata ambulance nzuri kabisa za kutoa huduma. Hapa kuna tatizo katika uongozi tena hiii ni dharau kubwa kwa wananchi kwa kuwafanya hawana akili kwa kuwafanyia mambo ya kipumbavu na kipuuzi namna hii kana kwamba hawana fikra za kufikiri. Mimi binafsi sikubaliani suala la bajaji kutumika kwa wajawazito. Na napendekezamke mmojawapo wa wabunge ama waziri atakapo kujifungua basi atumie bajaji mojawapo ili tuone atasemaje mwenyewe.
 
hiyo miaka 50 tukifika 70? we cant be serious mi mke wangu akadundishwe humona miba yake c atakufa? hii kupeana miradi huku tutajauana
 
jamani wanawake inabidi tuandamane ikibidi, huu ni upuuzi badala serikali ifanye kazi kuhakikisha inapunguza maternal death kila mwaka kwa wamama,yenyewe ndio kwanza inaongeza risks kwa kutuletea huu upuuzi tufe kama kuku.serikali ya JK hivi kuna watu hata common sense imewashinda?? mnafanya nini sasa jamani...mbona hii kitu hata mtu asiyekwenda shule anaona ni hatari??? mnh :smash::smash::smash:
 
Kama una mapenzi ya kweli na mkeo ambaye ni mja mzito basi kamwe huwezi kukubali hata siku moja apandishwe kwenye kibajaj ili kuwahishwa hospitali akajifungue. Huu ni mfano mwingine wa maamuzi ya kukurupuka ndani ya hii Serikali ya kifisadi.
 
Siku mama salma au mke wa pinda akiwa anaumwa hata malaria tu naomba apande hiyo bajaji then atampa feedback mumewe
 
Kama una mapezi ya kweli na mkeo ambaye ni mja mzito basi kamwe huwezi kukubali hata siku moja apandishwe kwenye kibajaj ili kuwahishwa hospitali akajifungue. Huku ni mfano mwingine wa maamuzi ya kukurupuka ndani ya hii Serikali ya kifisadi.

Huu ni mfano wa kauli za kisiasa sana, nashukuru mungu viongozi wetu wamelenga kupunguza vifo vya akina mama na watoto na kwa hili siasa zitaachwa. Kuna watu wanachofikiri wao ni jinsi gani Slaa atakuwa rais wa nchi hii tu.
 
Back
Top Bottom