BAHIMA Empire na uchaguzi butu 2020

Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Acha kuendeshwa kwa hisia hasi, utakwama.Ulisikia?Ulisikia kutoka kwa nani weye?
 
Ukifuatilia historia ya eneo letu, machifu karibu wote wa makabila( ya kibantu) yaliyo kanda ya ziwa kuja mpaka Unyamwezi, Unyamwanga walikuwa Wahima. Kama ni kujichanganya wana karibu miaka mia tatu tunao ndani ya zetu.
 
Kwenye sakata la TL karibu kila organ ya serikali imetoa tamko (tusizungumzie utofauti wake) kuna vitu si vya kupuuza! Huku kwenye mitandao ya kijamii kuna mengi ya kweli na ya kizushi, ya kusingizia na hata ya kupika, kutunga.....!!!!

Kuna mambo hayako sawa na ni vema mamlaka husika kuyatolea tamko ili kuweka mambo sawa.... Mojawapo ni hili la kuingiliwa na majasusi wa kinyarwanda mpaka kwenye organs muhimu kabisa za nchi.

Ukisoma huko mitandaoni wanasema kuna mabinti wa kinywaranda ni majasusi wabobezi lakini wamepozi kama Masuria, huku kwenye wizara mbalimbali za Serikali si mara ya kwanza kukamatwa raia wa Rwanda wakiwa tayari wana nyadhfa na madaraka makubwa na nyeti kabisa
Kinondoni kumewahi kuripotiwa kukamatwa raia wa Rwanda wanaojifanya ni wafanyabiashara lakini wakiwa na viashiria vingi vya kufanya zaidi ya biashara!

Sasa tunaambiwa kuna viongozi wakubwa wanalindwa na askari wa kinywaranda. Ni habari za kuogofya kama ni kweli na kama ni za kupikwa ZIKANUSHWE MARA MOJA!

Tusitende kwa makengeza, BAHIMA EMPIRE ni dhana kificho inayopata uhai kwa namna ya ajabu kabisa(BAHIMA EMPIRE inasemekana ni mpango wa siri lakini mahsusi na wa muda mrefu sana wa kuifanya Afrika mashariki kuwa chini ya utawala watu wa asili fulani).

Kwa sehemu kubwa kabisa inawezekana ni uzushi na mambo ya kutunga lakini lisemwalo lipo!

Waendesha mpango huo wa BAHIMA inasemekana ni watu wasomi werevu wenye rasilimali za kutosha na ujuzi wa kila aina
Pengine BAHIMA ni mpango tu wa kuficha jambo lingine kubwa lisilojulikana.

Tuna watanzania wenzetu wasomi na watu maarufu wengine wakiwa wanasheria tegemewa wamekatishwa maisha yao lakini tuhuma wakirushiwa kundi BAHIMA lenye asili ya Rwanda.

Kama hili ni kweli sifurahishwi kabisa na kuingiliwa kiasi hiki? Je huko kwenye vyombo vyetu vya ulinzi tuko salama kiasi gani? Je hakuna majasusi huko waliopandikizwa? Bungeni je? Na huko kwingine je?

Uchaguzi mkuu wa Rwanda umepita na kumrudisha Kagame madarakani kwa ushindi wa tsunami asilimia 98 lakini wote tumeshuhudia uchaguzi ule ulikuwa butu, ulikuwa ni uchaguzi kukamilisha ratiba na kukwepa rungu la kimataifa kuhusu demokrasia lakini haukuwa huru wala wa haki.

Roadmap kuelekea 2020 hapa kwetu inaanza kutupa mwanga wa jinsi uchaguzi utakavyokuwa... Kuna kila dalili tunanakili kila kitu kutoka Rwanda! Tunaona wazi upinzani unavyonyongwa kwa styles zilezile za Rwanda, dhumuni ni moja tu kuudhoofisha kabisa ili ikifika 2020 uko hoi kabisa... Kisha uchaguzi ambao Utakuwa na ushindi wa tsunami

Sisi ni taifa kubwa lenye nguvu na watu makini sana, naamini story za BAHIMA empire ni za kufikirika zisizo na chembe ya ukweli! Na hata kama ni kweli basi ziishie huko huko..... Lakini ni mpaka pale itakapothibitika vinginevyo....!!!!

Unaongea ujinga
 
Bahima Empire ni ndoto kama ilivyokuwa kwa "New Babylon" ya Sadam Hussein. Sadam alikazana sana kulijenga upya Jiji la Niniveh na hata kujenga yale majengo ya enzi zile "ziggurats" kama minara hivi, lakini wapi. Ulimwengu umebadilika sana kuwa na "World Powers" za aina ya Waashuru, Wakaldayo, Wamedi, Waajemi, Wayunani, na Wayumi. Hakuna Bahima Empire, hakuna "Kurdish" State, na Islamic State imeporomoka tayari kule Raqqa. Ukitaka kuelewa jinsi ulimwengu ulivyo na dira yake tofauti soma kitabu cha Hal Lindsey: "Sayari kuu ya Mwisho ya Dunia". Humo alitabiri kukua kwa Malkia wa Kusini kutokana na muungano wa dola ya Makaburu wa Afrika Kusini wakiungana na Ethiopia Kuu ya Kimengistu Haile na Misri ya Sadat wakiipiga Israeli. Akabashiri kuwa Urusi ya Breznev iliyo Gogu na Magogu ( Mfalnexwa Kaskazini atatatelemka toka pande za juu za Kaskazini na kuipiga Israel. Hawa watasaidiwa na Jeshi la wapanda farasi chunguchungu toka Magharibi (Marekani) na wenzao toka Mashariki (China) na kukamilisha vita kuu ya Armageddon pale katika bonde la Har Megido Israel. Kitabu kiliuzwa sana.

Matukio tofauti yakatokea duniani na kukibatilisha kitabu:

1. Afrika Kusini Mandela akapatana na Makaburu na dola la Kaburu likatoweka.

2. Ethiopia ya Kikomunisti chini ya Mengistu ikaporomoka na

3. Sadat na Yitzhak Rabin wakasaini Mkataba wa Amani.

Kwa matukio hayo Malaika wa Kusini aliyetabiriwa haraka na Lindsey akafutika.

Pengine:
1. Urusi dola ya Kisovieti ikaporomoka na kuua dhana ya Jeshi la wapanda farasi toka Magharibi kuwa Marekani ya kipindi kile.

2. Uchina ikabadilika kutoka mrengo mkali wa Kikomunisti na mapinduzi ya kiutamaduni na kuwa taifa lingine kabisa. Wapanda farasi toka mashariki wakawa sio hawa wa Uchina ya 1980.

Matukio hayo hapo juu yalifuta
dhana ya jeshi kubwa la wapanda farasi toka Mashariki kuungana na wenzao toka Magharibi na Malkia wa kusini kupiga Israel katika vita kuu ya Armageddon ikapotezewa mbali kwa sasa.

Huenda wakaibuka vivyo hivyo kama Biblia inavyosema lakini ni kwa wakati wake wenyewe na kwa namna nyingine kabisa.

Hakuna Bahima.
 
Sijathibitisha chochote ila kama unayoyasema unayaamini kuwa ni ukweli basi ni mpango wa muda mrefu sana na haujaanza leo, Kifo cha Habyarimana TZ yetu inahusika kwa namna moja au nyingine kwa maana Habya alitunguliwa akitokea Dar yeye pmj na Raisi wa Urundi na intelligence walimuonya kwanza kutokwenda TZ kwani walidukuwa Infos za assassination, na huwo ndiyo uliokuwa mwanzo genocide iliyomuingiza Kagame na kupata powers kuna players wengi kuanzia CIA, French intelligence na wengineo, usisahau Museveni ni partner wa Kagame na aliyemuingiza au moja ya watu waliomuingiza Museveni madarakani ni Nyerere, Museveni alikuwa TZ kabla ya kufanya Mapinduzi UG, zingatia kwamba Kagame alikuwepo kwenye Jeshi la Museveni lililofanya Mapinduzi Uganda hivyo unganisha dots halafu uone kama Nyerere anachomoka hapo, hivyo kama ni kweli usemavyo basi ni mpango wa muda mrefu wa tangu Nyerere kwani Nyerere ana asili ya Unyarwanda, pia usiwasahahu Wazungu kwani Kagame amesoma USA !
Naunga mkono hoja
 
Swala la hao mapandikizi wapo kila mahali, hukusikia Jeshini kuna Mnyarwanda alikimbia alikuwa kitengo cha IT
Huyu sijui aliishia wapi

La pili wakati wa mvutano wa Jakaya na Kagame, Kagame aliuambia Ulimwengu kwamba "atamtandika Jk na asijue amepigwa na nini "
Kauli hii ilitosha kabisa sisi kama nchi tuchukue tahadhari na pia sio tahadhari tu hatua madhubuti kabisa
Kauli hiyo maana yake ni kwamba Kagame ana uwezo wa ku penetrate security barriers na kuingia Ikulu yetu kumfanya chochote rais wetu
Maana yake ni moja tu ana watu wake kwenye system yetu na tupo uchi kwake
Sijui wahusika walichukua hatua gani maana mambo haya hayawekwi kwenye public domain ni classified
Pamoja na ombwe la uongozi tulio nao bado naamini Tanzania yetu ina watu makini ambao hawata ruhusu hayo ya Bahima empire kunawiri ila nina mashaka makubwa sana kwa sababu wazalendo wa nchi hii tunaaminishwa ndio wasaliti na wakiongea wazee wana washwashwa sijui tunaelekea wapi

Mungu ibariki Tanzania
Kwa maana hiyo tusimame kuirudisha nchi mikononi mwetu na kuilinda nchi yetu. Magic number ni 26042018.
 
Kama hiyo ni kweli basi ulipaswa uanzie kwa Nyerere kwani yeye ndiye architect wa yote hata kifo cha Habyarimana wanasema anahusika kumbuka Haby alitunguliwa akitokea Tanzania na hata safari yake ilikuwa na utata kwani hakutaka kuondoka hiyo siku lkn walimshinikiza aindoke, isitoshe Nyerere ni Banyamulenge by blood, pale Musoma walihamia tu kutokea Unyarwanda!

Hivyo kama conspiracy theory yako ina ukweli wowote basi ni mipango ya muda murefu iliyoasisiwa na Nyerere ambaye ana asili ya Unyarwanda!
Wewe binti nawe mwehu tu. Tunaanziaje kwa Nyerere sasa. Pointi yako ni ipi sasa? Tuache tu tupekechwe kwasababu ilianzia kwa Nyerere? Tunaanzia hapa hapa tulipo.
 
Back
Top Bottom