Mainstream media zilitumika kuwa aminisha watu kuwa alitaka kupinduliwa n.k ingawa ukweli na uhalisia haukuwa hivyo ,pia upande wa pili, mahasimu wao lazima wa ifanye Burundi isiwe na utulivu wa kisiasa ili wao waweze kupiga hatua mbele.
Kwa siasa za kwetu, ili uweze kulala usingizi mzuri au upige hatua mbele , lazima uhakikishe majirani zako wa karibu hawana utulivu wa kisiasa.
Historia ni mwalimu mzuri sana, wakati Tanzania ilikuwa ni kisiwa cha amani kipindi hicho, majirani zetu walikuwa katika wakati mgumu sana ila leo hii mambo ni tofauti kwa upande mwingine