Bahima empire almost there...!!!

Bahima empire almost there...!!!

watanzania tujiandae maana harakati za bwana yule na yule swahiba wake sizielewi elewi!!
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza.

Utawala wa Nkurunzinza ni muhimu sana na una faida kubwa kwa jiografia ya siasa za Afrika Mashariki.

Pierre sio mtutsi, yeye ni m Hutu, ina maana ni afya sana kwa yeye kuendelea kukomaa kuliko pale Burundi wakae wale jamaa zao wa upande wa Pili.
Kwa wenye jicho la tatu, wanajua jinsi Tanzania inavyo isapoti Burundi na ilivyokuwa karibu sana nayo kimkakati.
Kama Kigali itaendelea kutawaliwa na hao jamaa wanaojiona ni special kuliko binadamu wengine Afrika , pasi shaka kwa afya ya siasa za kwetu ni lazima Bujumbura upande wa pili waendelee kuwepo kuepusha kumezwa na hiyo Bahima empire.
 
Pierre Nkurunziza ni mhutu ambayo ni Bantu group hana uhusiano na bahima empire ila kwa mbali nasikia ni mixed blood, mama mtutsi na baba mhutu ila kuhalalisha kukubaliwa ,anawachukia watutsi kuliko hata wenye damu ya pure wahutu . Lakini hoja ni udictator ambayo umeshamiri Africa. Haijalishi ni Bantu au bahima issue ni kuwa bara Afrika na Asia ndio tumebaki na element za chama kimoja/kabila moja /dini moja/ukoo mmoja nk, kutawala milele. Ina maana hata wazungu wameona tuwaache hawa watu wavurugane wakichoka wataheshimiana . Ni kiwango cha uduni Wa kuelewa mambo kwa mapana yake ndio unafanye tutawaliwe hivi. Siku wengi wakiwa na mwamko tutakataa. Kama katika jamii watu mafisadi wanaporomosha majumba ndani ya mitaa yetu tunawasifu unashangaaje MTU akibadili katiba, si muendelezo Wa uvumlivu wa jamii kukubali kukandamizwa . Lile tusi la mbaguzi trump ( shit hole countries) si alikuwa anashangaa waafrika ni watu wa ajabu wanashindwa kuziwajibsha serikali zao. Kuna Siku tutatoka katika madhila haya ,siku tutakapoamini kuwa afrika tunahitaji Taasisi imara imara na sio kiongozi imara (we need strong institutions not strong men) ili tupate maendeleo.Ila contradictions za maendeleo, mbona China anapiga maendeleo kuliko India wakati moja ni largest single party dictatorship na nyingine largest multiparty democracy in the world. Lee Khan Yew aliitoa S.Korea kutoka third world country na kuifanya iwe first world democracy ndani ya muda Wa kizazi kimoja, kwa gharama kubwa ya kuminya haki za binadamu. Wengine wanaamini binadamu hawezi kula democracy na wengine wanaamini kuendelea bila kuwa na Uhuru Wa kutoa mawazo ni ni kumdunisha binadamu. Furaha yako au huzuni yako inategemea uko kundi gani kwa yanayotokea Afrika. Nimamua Kuwa neutral . Lakini tukubaliane kuwa jamii hupata kiongozi ambaye ni stahili yake. Hata tujidanganye vipi lakini ndani ya mioyo yetu bado Africa tunahusudu udictator . iwe ni ngazi ya familia/ kitongoji/ kata/ wilaya hadi taifa tunapenda kutoa maagizo na walio chini yetu wafuate tu. Hivi hata ndani ya vyama pinzani hatuoni mwendo ni kuburuzana tu. ?
 
Hizi Hima sijui nini ni conspirancy theories. Na kwanini mwanaume umuogope mwanaune mwenzako kiasi hiki? Watu wanaimba Hima Hima. Foolish!
Hahahaha huenda kweli watusi ni aliens, nyuzi za kuwapaisha zimezidi
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza.

Utawala wa Nkurunzinza ni muhimu sana na una faida kubwa kwa jiografia ya siasa za Afrika Mashariki.

Pierre sio mtutsi, yeye ni m Hutu, ina maana ni afya sana kwa yeye kuendelea kukomaa kuliko pale Burundi wakae wale jamaa zao wa upande wa Pili.
Kwa wenye jicho la tatu, wanajua jinsi Tanzania inavyo isapoti Burundi na ilivyokuwa karibu sana nayo kimkakati.
Kama Kigali itaendelea kutawaliwa na hao jamaa wanaojiona ni special kuliko binadamu wengine Afrika , pasi shaka kwa afya ya siasa za kwetu ni lazima Bujumbura upande wa pili waendelee kuwepo kuepusha kumezwa na hiyo Bahima empire.
Asante kwa ufafanuzi umejibu maswali mengi ya wale waliosoma hii mada bila kuelewa
 
Usilolijua ni kama usiku wa giza.

Utawala wa Nkurunzinza ni muhimu sana na una faida kubwa kwa jiografia ya siasa za Afrika Mashariki.

Pierre sio mtutsi, yeye ni m Hutu, ina maana ni afya sana kwa yeye kuendelea kukomaa kuliko pale Burundi wakae wale jamaa zao wa upande wa Pili.
Kwa wenye jicho la tatu, wanajua jinsi Tanzania inavyo isapoti Burundi na ilivyokuwa karibu sana nayo kimkakati.
Kama Kigali itaendelea kutawaliwa na hao jamaa wanaojiona ni special kuliko binadamu wengine Afrika , pasi shaka kwa afya ya siasa za kwetu ni lazima Bujumbura upande wa pili waendelee kuwepo kuepusha kumezwa na hiyo Bahima empire.
Hivi waliotaka kumpindua mwaka juzi ni wapi??
 
Back
Top Bottom