Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
Kuna Mambo Ukiyafatilia Kiundan Zaid Unaweza Kuugua Ugonjwa Usiojulikana
Aisee hii kitu alianza kama uvumi tu ila baada ya kuisema sana mdomo huumba na hima empire huenda ikitokea kweli make inapromotiwa sana na wabantuFafanua usiishie kukosoa bila hoja
Iko hivi ameachwa makusudi baada ya kukosa mbadala wake na kuna compromising situation itakayomfanya asifurukute.... Lakini pia Kumbuka ya Afrika kusini si kila mzungu alikuwa adui wa weusi na si kila mweusi alikuwa adui wa wazunguPierre ni mhutu sio mtusi ambao ndio wenye chain ya bahima,
Afu ukiangalia kwa kias fulan wahima wamekuwa wakimtenga pierre.
Jaribu kuangalia uhusiano wa pierre kwa kagame na m7 jibu liko wazi sio mshirika hata chembe
Kama hajakuelewa basi brother!Wanachotafuta ni majority kama figure ikiwa ni 5 kwa saba hao wawili wataburuzwa
Watutsi sio watu hata kidohoHabari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala
Sitaki kuijadili Burundi kama taifa huru bali Burundi kama sehemu na mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki...
Hii ni nchi mwanachama wa tatu katika nchi 6 zinazounda umoja huu (sijataja Sudan bado impact yake ni ndogo) Tayari Uganda chini ya Kaguta na Rwanda chini ya Kagame marais wake wamejirasmisha utawala wao kupitia chaguzi bandia..
Nani anafuatia!? Kenya? Kongo? Tanzania? Yeyote atakayefuatia kujiunga na huu udhalimu ile BAHIMA EMPIRE itakuwa imezalNiwa rasmi....
Huwa naona walioleta siasa ya vyama vingi walikuwa na lengo la kututofautisha lugha ili tukwame kama ilivyokuwa kwenye mnara wa Babeli sababu hata yule aliyeshindwa atabaki kuwa Rais wa wale walioshindwa na akiongea kitu wafuasi wake wanamtii kwahiyo automatic kunakuwa na marais wengi kwenye nchi. Inafika hatua Rais wa nchi anasema hivi na huyu mwingine anasema vile matokeo yake hamuendi popote.Kwanini
Hawa wanaotamani tawala za milele ni waeneza umaskini tu.Magufuli is next.
Hivi kwa nini like huwa hazi zidi 5 kwa kila mada?.Habari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala
Sitaki kuijadili Burundi kama taifa huru bali Burundi kama sehemu na mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki...
Hii ni nchi mwanachama wa tatu katika nchi 6 zinazounda umoja huu (sijataja Sudan bado impact yake ni ndogo) Tayari Uganda chini ya Kaguta na Rwanda chini ya Kagame marais wake wamejirasmisha utawala wao kupitia chaguzi bandia..
Nani anafuatia!? Kenya? Kongo? Tanzania? Yeyote atakayefuatia kujiunga na huu udhalimu ile BAHIMA EMPIRE itakuwa imezaliwa rasmi....

Haiwezekani mara ngapi kijana!, usiyo yajua acha wajuzi wa mambo wakujuze!.Tanzania iyo aiwezekani labda kama awajipendi.
Wewe unaishi nchi gani?Tanzania iyo aiwezekani labda kama awajipendi.