It is comingLazima itakuwa ni Danganyika maana wameshaanza na miaka 7 walipoona imekataliwa huku wakaipeleka visiwani. Si muda mrefu utasikia maana wameaanza kuwapunguza watakaopinga kutoka mjengo kwa njia ya kuhama na lopango
Sijui anataka nini mara anasema yeye ni dereva na tuko kwenye "lite" traki, mara yeye ni jiwe kweli kweli sijui anamaanisha jiwe lile la mke wa lutu au nini.. Sasa hivi anataka kuwa kiongozi wa malaika.. Tusubiri tuone maana huko kwa wazaramo daslamu tayari wana mungu wao kutoka ZiwaniIt is coming View attachment 713569
Ha haaa! Sasa sijui atakuwa anaongoza kikosi kipi cha malaika mana wapo wengine ni watoa roho akina Zirail. Ndio atakuwa mkubwa wao?It is coming View attachment 713569
Na hawezi pata urais atabaki na uanaharakati tu.Bahima empire ilikufa baada ya odinga kukosa urais!! Mpaka sasa Congo haijawai kutawaliwa na mkongo zaidi ya mapandikizi tu
Nkurunziza mama anaweza akawa mhima lakini anawachukia watutsi kuliko wahutu pure .Anatafuta legitimacy ya kisiasa kwa njia ya ukabila . Nina wasiwasi nchi za afrka zote zote zitakapokuwa failed states hapo utakuja ukoloni tena kwa kisingizio cha humanitarian reasons wakati lengo itakuwa kupora maliasili. I am afrad that is where we we are heading . God fobidMamaye ni Mhima (Mtutsi).
Hizi ni conspiracy theory ambazo hazina ukweli wowote,wala haziwezi kuthibitishwa kisayansi,ni porojo tu za mtaani,kama ilivyokuwa kwamba,kuna watu wanaamini yale majengo pacha ya WTO kule USA,yalishambuliwa na Jews.Nyingine eti Ukimwi ulitengenezwa kuwaangamiza wa Africa,ni porojo tu,zimesemwa saaaana,mpaka sasa kuna vilaza wanaamini ni kweliHabari mbaya Taifa huru la Burundi linaloanza wiki nazo ni kwamba rais wa nchi hiyo Pierre Nkuruzinza amepitishwa rasmi kuwa rais wa kudumu kudumu na mwenyekiti wa milele wa chama tawala
Sitaki kuijadili Burundi kama taifa huru bali Burundi kama sehemu na mwanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki...
Hii ni nchi mwanachama wa tatu katika nchi 6 zinazounda umoja huu (sijataja Sudan bado impact yake ni ndogo) Tayari Uganda chini ya Kaguta na Rwanda chini ya Kagame marais wake wamejirasmisha utawala wao kupitia chaguzi bandia..
Nani anafuatia!? Kenya? Kongo? Tanzania? Yeyote atakayefuatia kujiunga na huu udhalimu ile BAHIMA EMPIRE itakuwa imezaliwa rasmi....
Wewe pia ni mpumbavu kwa.kudhania vitu vya hovyo.Anaefatia ni Tanzania, wakenya sio wapumbavu kiasi hicho.
Ok basi hata hii reply yako ni mojawapo ya porojo zile zileHizi ni conspiracy theory ambazo hazina ukweli wowote,wala haziwezi kuthibitishwa kisayansi,ni porojo tu za mtaani,kama ilivyokuwa kwamba,kuna watu wanaamini yale majengo pacha ya WTO kule USA,yalishambuliwa na Jews.Nyingine eti Ukimwi ulitengenezwa kuwaangamiza wa Africa,ni porojo tu,zimesemwa saaaana,mpaka sasa kuna vilaza wanaamini ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
