Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Vipi marekani hawaendi popote?Huwa naona walioleta siasa ya vyama vingi walikuwa na lengo la kututofautisha lugha ili tukwame kama ilivyokuwa kwenye mnara wa Babeli sababu hata yule aliyeshindwa atabaki kuwa Rais wa wale walioshindwa na akiongea kitu wafuasi wake wanamtii kwahiyo automatic kunakuwa na marais wengi kwenye nchi. Inafika hatua Rais wa nchi anasema hivi na huyu mwingine anasema vile matokeo yake hamuendi popote.