viwanja bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Nilichoona kwenye mtandao wa TAUSI katika kununua viwanja Bagamoyo nimejiridhisha tunahadaiwa sana

    Yaani, viwanja saa nne asubuhi vimetangazwa vinaamza kuuzwa, Mimi nisha log in dakika 10 kabla. Viwanja vikaachiwa watu wachague nakiona kabisa kiwanja hiki hapa kimefunguka nikiendelea mbele naambiwa hamna kiwanja kishachukuliwa, naenda kingine vivyo hivyo Changa la macho tunapigwa na...
  2. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Road au Morogoro Road: Wapi bora kununua kiwanja?

    Tuseme mtu anataka kununua kiwanja Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi? Kibaha au Bagamoyo? Ni sehemu gani itakuwa na thamani na imechangamka zaidi ndani ya miaka 5?
  3. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania APARTMENT MPYA ZINAUZWA,ZIPO MBWENI MPIJI DAR🇹🇿,BEI NI MILIONI 850, 0758844717

    #sale APPERTMENT ZINAUZWA “”” ZIPO ZA VYUMBA VITATU “” ZIPO ZA VYUMBA VIWILI ZOTE ZINA WAPANGAJI VYUMBA VITATU NI LAK 700K VYUMBA VIWIL UWA ZINAPANGISHWA KWA LAKI 600K UKUBWA WA KIWANJA NI SQMT 1200”” KUNA HATI MILIKI OFFER MILLION 850 MAONGEZI YAPO LOCATION MBWEN MPIJI...
  4. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

    Niaje waungwana, Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure. Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Back
Top Bottom