makazi bagamoyo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Olivia olivia

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Road au Morogoro Road: Wapi bora kununua kiwanja?

    Tuseme mtu anataka kununua kiwanja Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi? Kibaha au Bagamoyo? Ni sehemu gani itakuwa na thamani na imechangamka zaidi ndani ya miaka 5?
Back
Top Bottom