Pole hizi ndoto za mtu umtakae ni shida maana muda unaenda haumsubiri mfalme hata kidogo.wakati unakuja kung'amua hilo umeshakua kibibi hamna tena hata salamu au utani Wa wale ulikua unawadharau.
Wakati huo nae na wamakamo ila wana hela wanakamata vibinti unaanza watoto wanapenda wazee.