Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Don't do this kwa mabinti wa kizazi hiki, mwngine atakujazia midoli kitandani.
Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
 
Sex utility ni mental issue na iko so subjective, kinachompa mmoja mzuka siyo kinachompa mzuka mwingine.

Back then niliwahi kuwa na mzuka na wadada wanaotokea kwenye matangazo (iwe kwenye TV au mabango makubwa kama A1, Outdoor etc).

Nikapataga kama watatu hivi nikaona kawaida, nikahamia mashindano ya hizi Miss (level za vitongoji, university na kanda kama Ubungo, Kinondoni etc), nakumbuka moja ya Mingo zangu ilikuwa Grand Villa hotel, walikuwa kunakuwa na kambi pale.

Kwenye hizi kitu kila mmoja ana taste zake. Sasa hivi uzee umeniingia sijui, maana naweza kutongoza halafu nikaikimbia kazi.
ahahahahahahahahhahaha nakuelewa!
sa hiz ni kama we all need a companionship kuliko kazi!
angalau wa kumsimulia menopause worries
lol!
 
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!

Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!

Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.

NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Life is all about choices!!
 
Back
Top Bottom