Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Eeeh. Wanaitwaga kuku wa kienyeji. Hawanaga makuu wenyewe. Halafu wazuri balaa wakitunzwa ila kina kaka wanataka wakawafuje kwa chips kuku eti.
wanapiiiiika tembelee mooooja matataaaa na nyanya chungu na wali Nazi!weeeee
shurti wanajua kusinga na kuimbia mtu twaarab akiwa kinenani!
nashangaa wanawapa chips kuku!
psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu zao!
 
Sinaga invoice mimi. Nikiomba kweli nina shida na najua utanipa. Sijui zile za beb naomba laki 8 nikanunue simu sijui million niongezee kodi hapana. Kama nataka million ya kodi ntaomba unikopeshe na ntalipa. Napenda kupewa kuliko kuomba.
Mmmh km kweli hongera sana
 
Back
Top Bottom