Bae niongezee hela ninunue S9+

Bae niongezee hela ninunue S9+

Ni kweli, Umeona mbali sana.

Njia nyingine rahisi ya kumtambua aliye sahihi au si sahihi - Waweza kumpa kama laki tano, na kumwambia fanyia chochote. Then baada ya muda muulize ametumia vipi? Utashangaa anakwambia nilienda kusukia Brazilian hair hela yote!
Kweli
 
Kwani nimemzuia kununua kwa hela yake? Kuhusu hatma yake kwangu ni uamuzi wangu. Anunue tu nishajua wapi anafaa.
Hatima yake kwako OK!

Bado nafasi ipo you can act like gentleman kumpa somo kama hili uliloshusha humu akakuelewa na hatima yake ikaendelea kua ni sehemu salama ndugu yangu....
 
Back
Top Bottom