Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Itakua Tips ama 777
Nimemiss bisi za La Stanza, nahisi game ya Man City na Tottenham ntakuwa pale.
Itakua Tips ama 777
Mi hapo nimekaa mara moja tu ila pazuri. Ngoja nimconvince yule shemeji ako wa Mbezi tuje hapo akitoka msibaniNimemiss bisi za La Stanza, nahisi game ya Man City na Tottenham ntakuwa pale.
Mi hapo nimekaa mara moja tu ila pazuri. Ngoja nimconvince yule shemeji ako wa Mbezi tuje hapo akitoka msibani
Wewe huyo??Ntakuwa pale kesho lakini, leo nimeokoka sinywi pombe kabisa
sijawahi kufika hapo....nasikia bisi sio tamu ila watengenezaji ndio balaa?!






DuuhSinaga invoice mimi. Nikiomba kweli nina shida na najua utanipa. Sijui zile za beb naomba laki 8 nikanunue simu sijui million niongezee kodi hapana. Kama nataka million ya kodi ntaomba unikopeshe na ntalipa. Napenda kupewa kuliko kuomba.
sijawahi kufika hapo....nasikia bisi sio tamu ila watengenezaji ndio balaa?!
Wewe huyo??
HongeraKweli kabisa. Hapa kuna kazi nahangaika nayo, niko home sitaki kabisa kugusa pombe leo.
Hongera
Itabidi nije kula bisi
Hahhaha aiseeUkioa ndo unadangwa vizuri sasa
Nilijua tu Rrondo lazima aseme mambo ya kudanga hapaHongera