agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,412
Na papuchi utapata kwa hao wamama?Kingine kama ukiamua kuwasaidia wakina mama,vijana wanauza matunda,mahindi,biscut&maji na apple, wanaotembeza sambusa na mayai ambayo mitaji yao ni 20000 tu ambao watakuwa watu 115 hakika utaacha alama machoni mwao na thawabu mbinguni kuliko kuipatia papuchi moja ambayo haina akil kichwani