Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
MumeLord have Mercy!
MumeLord have Mercy!
Nahisi naibiwa, nachanganyikiwa.Mume
Na huyu "bae" ni mke au mama mzazi?Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Nimeelewa sana. Na nimeshangaa sana... yaani mama mzazi mwenyewe sijamfanyia hayo ndo niufanyie mchepuko?Dah...mchepuko huo! Ndio shida ya uhenga huelewi lugha za mjini
Hubby ‘bae’ Ni kifupi cha babeNa huyu "bae" ni mke au mama mzazi?
Maana dah...
Kwani hicho unachokipaya kwa mchepuko unaweza kukipata kwa mama mzazi?Nimeelewa sana. Na nimeshangaa sana... yaani mama mzazi mwenyewe sijamfanyia hayo ndo niufanyie mchepuko?
Atasubiri sana yani
Ungemuuliza yeye ana ngapi huenda alikua na 2.2 akahitaji aongezewe laki1Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
2.Unaweza kununua matofali 2300 ambayo yanamaliza nyumba ya vyumba vitatu au viwili.
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium ukamalizia nyumba yako
4.Unaweza kununua bodaboda ikakuingizia hata 20,000 kwa siku.
5.Huu ni mtaji tosha kwa biashara ya tigopesa etc
6.Unaweza kununua mabati 100 au zaidi
Kuna vitu kibao vya kufanyia hio hela kuliko kununua simu. Leo nimekamilisha uchunguzi wangu kwake hafai kuwa mke.
NB:Hii haihusu those who CAN AFFORD that phone.
Hahajaja acha dharau basiUngemuuliza yeye ana ngapi huenda alikua na 2.2 akahitaji aongezewe laki1
HAHAHAHAHAHHAHAHHAHAHHA!Yaani maisha ya ujana yana pirika za ajabu...
Make kipindi kile nikiweka nadhiri ya kazi naishona hasa, naweka resources kabisa kwa ajili yake.
Siku hizi nafanya kama kujaribisha tu zinatick halafu nakataa mwenyewe, sema budget nazo zimebana kweli.
Maana ada za watoto ni shida... Na Makonda kakomaa hasa.
ahahahahhahaa nakwambia wacha kabisa!Hahaha, hapo kwenye mvi hapo. Ukiona moja tu unaanza "ewaaa, uzee unaingia tartiiibu". Binafsi sizihesabu tena, nahisi i'm Lowasa in the making.
agata edward uko wapi?
nipoooagata edward uko wapi?

uzee tu na majukumu yamekuwa mengi.
Duh umepotea kila angle! Nani huyo kakuficha?
Poa nimefurahi kujua upo na mzima wa afya. Msalimie kaka yako Behaviouristuzee tu na majukumu yamekuwa mengi.