ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 4,452
- 5,669
Juzi nimetumiwa msg na bae eti nimuongezee hela anunue S9+. Ikabidi nichungulie inauzwa bei gani OMG 2.3m! Yaani 2,300,000! Over a $1000!
Nikafikiria huyu Bae anakaa nyumba ya kupanga, kodi vile vile nanchangia na inawezekana tunachangia wengi, kweli hana cha maana cha kufanyia hio 2.3m!
Nikafikiria haraka haraka nini unnaweza kufanya na 2.3m
1.Unaweza kununua kiwanja. Kuna kampuni zinauza viwanja vilivyopimwa 5000/sqm anaweza kupata 1000sqm kwa 5m(hii kampuni unaweza kulipa nusu halafu iliobaki kidogokidogo kwa miezi sita)
3.Unnaweza kununua madirisha zaidi ya 7 ya aluminium
Mkuu wapi unaweza kupata hivyo viwanja?
