Gentleman, Life is not that serious.
What is a basic to you may not always be the same to others.
Kuna vitu vingi sana vinachangia kumfanya mtu jinsi alivyo.
Taka kuangalia vitu kutokea kwenye misingi yake, achana na matokeo.
Ukitaka kubadili matokeo, badili msingi.
Ukishajua msingi wa kitu ni rahisi kujua namna kilivyokuja na namna ya kukishughulikia.
We are always a work on progress. Learning and unlearning daily.
Tabia ulivyonazo kama hukuzaliwa navyo, ina maana ulijifunza, kila ulichojifunza unaweza pia kukiondoa
PENYE NIA PANA NJIA.