Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Bado wapo wenye imani na CHADEMA?

Strategically Chadema wamefaulu kuifanya serikali iyumbe, wamerusha ndege, many arrests, wametumia mapesa mengi, hii yote Ni hasara inayotafsirika kwenye uchumi ulipotea. Let say watafanya mambo Kama haya muda mwingi Na serikali itakuwa inafanya hivi walivyofanya? Mwishowe serikali itaona Ni upuuzi kupoteza pesa bure.
Sioni kabisa walichofaulu CHADEMA.

Magu punked them out and they folded like cheap suits.

It was an epic fail!
 
Nyani Ngabu
Isha yasema hapa maneno exactly kama unayo ya sema
CHADEMA sasa ni chama cha hovyo hovyo mno,afadhali CCM iendelee tu kama hatuna watz chama mbadala
CHADEMA sasa wala haijulikani slogan yao ni nn
Vijana wapo mahabusu Lowassa anakula ubwabwa na Rais na akina Kinana
Hata kukemea tu kuwa vijana wangu akina Mwalim waachiwe huru kashindwa
Ukweli ni kuwa hamna mtz anayeweza tena kubali kupigwa virungu kwa CHADEMA hii maslahi
Sasa ni chama cha kupiga deals wategee viti maalum wakipewa wawape mahawala wao
CHADEMA tuliyo ijenga kwa damu imekufa sababu ya myopia thinking ya Mbowe
Kubadili gia angani my foot
Polisi wala msifanye mazoezi hawana watu wa kuandamana hawa
Magufuli HAMNA kuruhusu mikutano sababu haina faida yyt kwa mtz wa kawaida
Demokrasia wanayo iongelea ndiyo hii kuwapa ndugu zao nafasi za uteuzi badala ya merits?
 
Mwanangu huwa anatafuta kick Kwa Kuangua kilio Ili apate attention na kunyamazishwa akiikosa anaangua kilio Kama vile kakanyaga moto. Akiikosa zaidi anatafuta Kick ya kucheka urafiki unaanza na maisha yanasonga.
 
Hawa jamaa leo wamefanya makosa ambayo watakuja kuyajutia huko mbele....
Walichokifanya ni sawa na mchezaji wa mpira aliyebaki na goalkeeper halafu akapiga mnazi....
Makosa walifanya makubwa siku wanamfukuza Dr Slaa tena kwa kebehi
Lissu ndiye aliita waandishi kumdhihaki Mzee Slaa
Hawakufikiri je wakishindwa nani atakijenga chama
Lowassa ni rafiki wa CCM hawezi hata kukemea kitu
CHADEMA imekufa
2020 tutafute chama kingine
 
Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!
I honestly don't see how or what the government lost.

Magu punked them. He dared them to try him and they chickened out after getting people's hopes up high and everything.

Come on man, there's no way you can spin that as success.

It was an epic fail. Period, end of sentence.
 
Ngoja nisicomment lolote hapa....

Ngoja niendelee kutafakari....

Ngoja niendelee kuwasoma...
 
Makosa walifanya makubwa siku wanamfukuza Dr Slaa tena kwa kebehi
Lissu ndiye aliita waandishi kumdhihaki Mzee Slaa
Hawakufikiri je wakishindwa nani atakijenga chama
Lowassa ni rafiki wa CCM hawezi hata kukemea kitu
CHADEMA imekufa
2020 tutafute chama kingine
Kipi??

Pamoja na makosa wanayofanya, na kwa Tanzania hii nayoijua.... CDM kitabakia chama kikuu cha upinzani.

Labda CCM ivunjike.
 
Komredi na wewe ulikuwa umepanga kuingia kitaa kuandamana?
Nlichukua emergency leave. Na hivi Magu kakataza tusinywe bia asubuhi... nadhani ntaenda zangu Mapinga nikacheze na mbuzi wangu.

Nisingeandamana ila ningesapoti maandamano.
 
Nlichukua emergency leave. Na hivi Magu kakataza tusinywe bia asubuhi... nadhani ntaenda zangu Mapinga nikacheze na mbuzi wangu.

Nisingeandamana ila ningesapoti maandamano.

Sasa Komredi kwa nini usingeandamana? Virungu na washawasha wa Magu?

Damu vipi lakini, ungechangia?
 
Leo ndiyo tumewaheshimu zaidi na zaidi!!!! 🙂 🙂 na tutakuwa nao daima. Zaidi ya 8 mion walioshinda na kuibiwa?????
 
Tatizo siyo Chadema, tatizo ni Watanzania. Kilichotokea kwa Chadema ni sawa na mfanyabiashara kufungua biashara kwa mbwembwe na matangazo lukuki halafu mwisho wa siku hakuna wateja wa kununua hizo bidhaa. Watanzania wanaoamini Magufuli ni dikteta ukijumlisha wanachama wa Chadema waliufyata kabisa mkia kufuatia "mkwara" wa Magufuli. Hivi mtu ukifungua duka watu hawanunui bidhaa zako unafanya nini? Si unafunga duka? Hata kama mimi ningekuwa Mbowe, ningeahirisha hayo maandamano.
 
Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!

IO sema mkuu, unaweza kusema ni serikali imegharimia sana hasa kama ungeweza kusema maandalizi yote yale ya serikali yasingefanyika wakati wa kuelekea Siku Kuu ya Majeshi (JWTZ). Ni wazi serikali na vikosi bado vingefanya maandalizi na labda baadhi ya maandalizi ambayo huwa wanafanya kimya kimya kama kawaida (na tunajua vikosi vyetu huwa wanafanya) waliamua kuyafanyia hadharani tu.. kwa hiyo hata kama kuna gharama ya nyongeza inaweza kuwa si kubwa kivile.

Lakini hata hivyo, kama kuna watu wameamua kutishia kupambana na serikali kwa namna ya "haturudi nyuma liwalo na liwe" vikosi vya usalama vilitarajiwa kufanya nini?

Binafsi ninachohofia ni kuwa labda sasa CHADEMA wenyewe wamempa nguvu zaidi Magufuli kuliko ambayo walidhani anayo...
 
Count how much the government lost monetarily ??
That is very important! Mikoa yote, madege yamerusshwa majeshi alerted! For what? Who is the loser not Chadema!
Unaposema how much the government lost monentarily unakuwa na maana gani wakati pesa waliyotumia iko kwenye budget yao iliyopitishwa na bunge.

Inawezekana neno LOST katika muktadha huu lina maana nyingine unayoifahamu wewe ambayo haipo katika kamusi ya uchumi.

Sitaki niwabeze CHADEMA kwa uamuzi wao wa kusitisha maandamano na mikutano pamoja na kwamba walichukua jukumu ambalo lilikuwa ni kubwa zaidi ya uwezo wao kisiasa.

Ninawapongeza CHADEMA kwa uamuzi wa kusitisha oparesheni ya UKUTA.
 
Hilo suala la gharama ndilo limekuwa utetezi wao,wanajifariji nalo...wakati hadi jana asubuhi walikuwa wanakaza shingo ukutani.
 
Back
Top Bottom