Kibanga Ampiga Mkoloni
JF-Expert Member
- Aug 9, 2007
- 19,066
- 9,224
Tokea Nitonywe kuwa huyu pia alikuwa ni timu Zitto sina hamu naye tena na Heshima yote niliyokuwa najua nayo humu nimeishusha na kuipotezea mbali.
Laiti wana CAHDEMA wangetambua hasa huyu mtu alikuwa nakula kotekote Mchana CDM, usiku anaiponda hakika wangemkimbiza mapema kuliko hata wanavyomkimbiza Zitto sasa.
Na hasa nikikumbuka ile ID yake maarufu ya kuiponda CHADEMA,
HAKIKA KIKULACHO KINGUONI MWAKO.