Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Bado nitampenda mke wangu hata kama kashagongwa

Naomba Mungu anipe roho mbaya hata nisiwaze kusamehe, achilia mbali kuishi nae tena..!! Avuliwe chupi huko then nami niridhike tu..?? damn it..!
 
mke wangu kanisaliti nilipokuwa nipo kikazi ktk shughuli zangu nje kidogo ya jiji la dar.Taarifa Nimepata Kutoka Kwa Maswaiba Wangu Wa Karibu Na Kwangu Na Wameniambia Mke Wangu Anatembea Na Rafiki Yangu Wa Karibu.Nilipopata Taarifa Hii Nilimwendea Kitombi Aliyenigongea Mke Wangu Ambaye Ni Rafiki Yangu Wa Karibu Na Amekuwa Muwazi Kwangu Na Amesema Hatorudia Tena Na Mimi Nimeachana Nae For Good.Ila Akirudia Na Nikapata Harufu Yakuwa Amemgonga,atakuwa Amejipa Kibali Cha Kwenda Ahera.

We jamaa lazima utakua zwazwa wewe!yaan mimi nikute yfmaterial kachepuka then nimwache hivihivi huyo jamaa!!!
 
Hongera kwa ujasiri kaka. Lakini napata shaka jinsi mke anavyouma, umelitambua hilo na hujamshirikisha wife kama umegundua?
 
Hahahahahaha duuuuuh!! so funny!! ngoja utombwe mwenye usikie utamu wa huruma yako!
 
wapi Tyta uje ufanye "due diligence" ya huyu memba kujua ukweli wa hii story kulingana na threads zake za siku za nyuma??
 
Last edited by a moderator:
wapi Tyta uje ufanye "due diligence" ya huyu memba kujua ukweli wa hii story kulingana na threads zake za siku za nyuma??

Join Date : 4th December 2014

jana tu..huu uandishi....multiple id syndrome.....haman kitu hapa walewale...hii si lugha ya mtu anamiliki mke...
 
Huyu mzima kweli wadau?
Kwa upande wangu mimi aisee ingekuwa balaa nishafungwa, manake tetesi kuwa mtu anamvizia my wife wangu utaipata freshi alafu ndo nigongewe aisee NAUA kwa kukusudia
 
Back
Top Bottom