Naanza kupambania zawadi sasa, kuna namna ukipambana unapewa tu hata kama sii yako, si unaona ile zawadi ya Ndugulile, janabi kaipambania 😂😂Aah kama hauna hiyo zawadi wewe lala tu kwakweli😂😂😂
Mzee alisemaje kuhusu namna ya kutambua mbegu itayomea vizuri katika udongo husika?Nae akaendelea kusema, kama ni muamini basi bila shaka unaelewa kwamba sisi ni udongo, yaani na maanisha kwamba mwanadamu aliumbwa kwa udongo lakini wakati huo huo sisi wahenga husema pesa ni maua.
Kwahiyo kwa lugha nyingine ni kwamba pesa ni matokeo ya mbegu fulani iliyoota na kumea baada ya kupandwa kwenye udongo wa ardhi fulani.
Na kikawaida ni kwamba Kila udongo ulio juu ya ardhi fulani unao uwezo wa kuotesha mbegu itakayo pandwa ndani yake ila si Kila mbegu inayopandwa kwenye Kila udongo inayouwezo wa kumea na kuchanusha maua yenye kuleta matunda yenye afya inayotakiwa.
Hii yote ni kwasababu udongo wa ardhi moja huwa unatofautiana na udongo wa kwenye ardhi nyingine.
Dah code nzito hiiKitu watu wengi wanashindwa kujua ni kuwa
Mafanikio ni matokeo ya juhudi ila Utajiri ni zawadi kwa nguvu zilizokuzidi uwezo.
Na ndio maana mafanikio ni kwa kila mtu ila utajiri ni kwa wachache waliochaguliwa.
Na ndo sababu unaweza ukakuta mtu anauza kila siku kwenye biashara yake na bado asiwe tajiri huku yule anayeuza kwa wastani tu akawa tajiri.
Ukiutaka utajiri tafuta nguvu yoyote iliyokuzidi uwezo uishawishi ikupe iyo zawadi. Ila kama unataka mafanikio Mkuu ongeza juhudi kwenye harakati zako.
Nasubiri majibu piaMzee alisemaje kuhusu namna ya kutambua mbegu itayomea vizuri katika udongo husika?
Mchakato upi wa kufuata ili kupata mbegu stahiki kwa udongo wako.
Wewe na mimi tuWazee Wenye madini kama huyu tumebaki wachache sana
Mzee naomba nikufate dm kwa ufafanuzi zaidiKitu watu wengi wanashindwa kujua ni kuwa