Bado Nakupenda Faiza Foxy

Sijui unampendaje. Ila nadhani humu jukwaani hakuna anayenishinda mimi. Ingawa mimi sio moto wala baridi ktk ushabiki wa vyama ila Namkubali sana huyu dada.
 
Halafu aliwahi sema humu kuwa wana zaidi ya miaka 30 kwenye ndoa, ila watu bado wana-mack tu. Haha hii mitaa kweli noma. Wengi humu wazazi wetu bado wanaisaka hiyo number.

Teh teh..watu wanataka kutembea na wazazi wao humu..ila we differ bro..wengine "age before beauty" ndo principle yao lol
 
Mleta mada huyo kikongwe unamjua au unampenda tu kwa hisia?
 
Sijui unampendaje. Ila nadhani humu jukwaani hakuna anayenishinda mimi. Ingawa mimi sio moto wala baridi ktk ushabiki wa vyama ila Namkubali sana huyu dada.

Mkuu tuheshimiane,huyu mrembo nimetokea kumpenda kabla yako...
 
Mkuu tuheshimiane,huyu mrembo nimetokea kumpenda kabla yako...

Hahaa..unajuaje? Pengine yeye alianza kumpenda huyo mrembo kabla yako ila wewe umemtangulia kuvunja ukimya.
 
Hahaa..unajuaje? Pengine yeye alianza kumpenda huyo mrembo kabla yako ila wewe umemtangulia kuvunja ukimya.

Sasa hiyo ni weakness yake na itamponza...
 
Mleta mada huyo kikongwe unamjua au unampenda tu kwa hisia?

Mkuu mimi kiukweli nimempendea figure,tabasamu lake na akili kichwani,hayo mapungufu mengine kama itikadi ya vyama are very minor.
 
Yupo Lumumba. Nenda ukamueleze hisia zako.
 
Mmmh nyinyi mnajuana si bure maana navimjua huyu bi dada pangekuwa hapatosh mapenz bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…