Bado Nakupenda Faiza Foxy

mkuu.Faiza ana GOZI lake na analipenda sana..Kama hicho sio kikwazo kwako basi endelea kujaribu bahati yako
 
mkuu.Faiza ana GOZI lake na analipenda sana..Kama hicho sio kikwazo kwako basi endelea kujaribu bahati yako

Won't give up mkuu Kaboom nimetoka naye mbali...
 
Last edited by a moderator:
Bibi Fox jumapili huwa anaenda kanisani kupata chochote asichoelewa na kuja kubwabwaja hapa ! Sasa leo kachelewa kuingia ibada ya kwanza kutokana na sindano za SUMAYE JANA!
 
Bibi Fox jumapili huwa anaenda kanisani kupata chochote asichoelewa na kuja kubwabwaja hapa ! Sasa leo kachelewa kuingia ibada ya kwanza kutokana na sindano za SUMAYE JANA!

Hahaha...unatonesha majeraha ya wengi,
 
Mleta mada naona umeamua ku-refresh akili za watu baada ya ule "mkiki" wa jana.
 

sherehe imeambatana na mvua,masheikh tutakula wima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…