Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,175
- 143,968
Basi, endeleeni na mnavyoona ni sawa.Halafu what next?
Utakuwepo barabarani wakipigwa?
Basi, endeleeni na mnavyoona ni sawa.Halafu what next?
Utakuwepo barabarani wakipigwa?
Nimejaribu kuangalia reaction ya mataifa ya nje, kwa nasibu nimejiunga na VPN, nikafurahi kuwa kwa mara ya kwanza waangalizi wa kutoka nje wameukosoa uchaguzi huu kwa maneno yaliyoustahili. Wameona kuwa kumbe tukisema Magufuli ni dikteta mbabe asiyeogopa hata kuchapisha kura na kuzisambaza vituoni usiku tulikuwa tunasema ukweli. Wamekubali kuwa hapakuwa na uchaguzi huru na haki na halali bali kulikuwa na fursa ya kutangaza kuwa nchi hii ni ya siasa za chama kimoja cha Ccm. Majimbo mengi wala hawakujali hata kujumlisha. Walijitangazia tu. Hii ni aibu kwa raisi na dola kwa ujumla!!!!! Ila bado mambo hayajaisha.Mimi siamini jiwe kama ni mtanzania mwenzetu, tumemuona jk, ben, mwinyi ila huyu hapana kwa kwel
Mambo baaaado! Vuta subira!!!!"Kwisha"
"kwisha"
vitisho vya Armsatadam"kwisha"
mbwembwe za mikutano ya nyomi"kwisha"
vitisho vya The Haugue"kwisha"
kulala kwa Mwalimu Nyerere Butiama"kwisha"
Mzee Ponda na bagonza"kwisha"
mapicha mapicha ya mbwembwe"kwisha"
niyeyee tunajambo letu October"kwisha"
Plan B ni ipi Mkuu? Ingefanyika haraka sana kabla mambo hayajapoa.Mambo baaaado! Vuta subira!!!!
Mimi nafikiria kua ni lazima wakae, wajipange na wapange, waichore plani yote kwa ku-predict matokeo ya kila hatua ya utekelezaji. Leo Maalim Seif alianzisha maandamano bila mpango uliopangwa wala kuratibiwa. Walimdaka na viongozi wenzake na kuwaweka ndani. Kwa hawaku- premeditate na kupanga hakuna kinachoendelea. Fikiri wao kuwekwa ndani ilikua pawe hapatoshi. ACT yote ingekuwa barabarani kesho kudai waachiwe bila kujali mabomu wala risasi. Kama wote wamo ndani nani aongoze harakati? Haitakiwi kukurupuka. Vyama vote vya upinzani wakutane na kuweka mkakati na plan of action. Najua wote wameshikwa na ganzi, lakini ilikuwa ni kosa kufikiri kuwa Tume ya Magufuli ingewatangaza kuwa wameshinda. Mie nilijua fika kuwa hawatatangazwa kiwa wameshinda. Ambacho sikuamini ni kwamba atawafuta wote. Pia huenda hii imewasaidia kuresist pamoja kwa nguvu moja.Plan B ni ipi Mkuu? Ingefanyika haraka sana kabla mambo hayajapoa.
Duuh afu unakuta mtu kama ww unatoa maneno ya kashfa kwa walioshinda wakat hujui chochote kuhusu siasa za Tz[emoji16][emoji16][emoji16].Mimi najiuliza inakuwaje Wazanzibar wanapiga kura kumchagua rais wa TANZANIA?View attachment 1615440
Duuh afu unakuta mtu kama ww unatoa maneno ya kashfa kwa walioshinda wakat hujui chochote kuhusu siasa za Tz
Kumbe nina akili....Hata hayo maneno machache niliyoandika umeshindwa kusoma hadi mwisho! Kweli mna akili za jiwe
Wangeongezea idadi kwenye makaratasi.Tungesikia idadi ya wapiga ni Milioni 70And guess what....
Kama vyama vikubwa vya kisiasa vingesusia, hiyo idadi ya wapiga kura ingeweza kushuka zaidi na kuifanya CCM ionekane ni kituko tu mbele ya jamii na hata jumuia ya kimataifa!
Sasa hivi hao wapinzani hawana uhalali wa kulalamika.