Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,561
- 39,542
Muhutu kaamua kutuendesha.Mimi siamini jiwe kama ni mtanzania mwenzetu, tumemuona jk, ben, mwinyi ila huyu hapana kwa kwel
Muhutu kaamua kutuendesha.Mimi siamini jiwe kama ni mtanzania mwenzetu, tumemuona jk, ben, mwinyi ila huyu hapana kwa kwel
Jiwe amejiongezea ulinzi, shuhudia siku ya kuapishwa ndipo utaelewa alivyo muoga"Kwisha"
"kwisha"
vitisho vya Armsatadam"kwisha"
mbwembwe za mikutano ya nyomi"kwisha"
vitisho vya The Haugue"kwisha"
kulala kwa Mwalimu Nyerere Butiama"kwisha"
Mzee Ponda na bagonza"kwisha"
mapicha mapicha ya mbwembwe"kwisha"
niyeyee tunajambo letu October"kwisha"
Rais anatakiwa alindwe kwa gharama yeyote ile.Jiwe amejiongezea ulinzi shuhudia siku ya kuapishwa ndipo utaelewa alivyo mwoga
Hivi Kikwete kweli anajisikiaje kumwachia nchi huyu mtu mwovu asie haya kabisa!!
Nayeye udogo wake wa akili kutaka kumrithisha Membe ndio imetuletea janga, mkosi na aibu hiikimataifa! Hata kaheshima kadogo tulikokuwa nako kameisha kabisa!
Jiwe na makuwadi wenzie wanaweza jiona wameshinda...lkn ukitafakari vizuri mwisho wa Ibilisi huyu utakuwa mbaya sana!
Tunasubiri kuiona Tanzania ikiwa kama Ulaya baada ya miaka mitano.Inasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyanganya wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio kusaidia taifa!
2. Pili, je kuwa na waakilishi sehemu nyingine ambao hawajachaguliwa na wananchi ni tatizo kwasababu watu bado wana mioyo yao na huwezi kubadilisha kwa kulazimisha.
3. Kwanini tunapoteza pesa, kuiabisha nchi, kuleta ugomvi mkubwa hivi kwa taifa badala ya kuungana na kuleta maendeleo?
Hivi kama Magufuli akikubali kuachia madaraka 2025 tume ya uchaguzi ambayo itatumika ni hii hii au atachagua wengine kabla ya kuondoka au utaratibu huwa ukoje?Tunasubiri kuiona Tanzania ikiwa kama Ulaya baada ya miaka mitano.
Ivi Kama Magufuli akikubali kuachia madaraka 2025 tume ya uchaguzi ambayo itatumika ni hii hii au atachagua wengne kabla ya kuondoka au utaratibu huwa ukoje?Tumefanya uchaguzi kwa sababu sisi ni despotic banana republic.
Mkuu huo ndio mtindo wa Fisiemu wa kujenga umoja na upendo wetu.Inasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyanganya Wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio kusaidia taifa!
2. Pili, je kuwa na wawakilishi sehemu nyingine ambao hawajachaguliwa na wananchi ni tatizo kwasababu watu bado wana mioyo yao na huwezi kubadilisha kwa kulazimisha.
3. Kwanini tunapoteza pesa, kuiabisha nchi, kuleta ugomvi mkubwa hivi kwa taifa badala ya kuungana na kuleta maendeleo?
Hata hayo maneno machache niliyoandika umeshindwa kusoma hadi mwisho! Kweli mna akili za jiweHata kikwete mlimlaumu kaiba.... Leo unamuona mwombezi.... ngumu kuwaelewa
Ccm inapendwa sana na wananchiInasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyanganya Wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio kusaidia taifa!
2. Pili, je kuwa na wawakilishi sehemu nyingine ambao hawajachaguliwa na wananchi ni tatizo kwasababu watu bado wana mioyo yao na huwezi kubadilisha kwa kulazimisha.
3. Kwanini tunapoteza pesa, kuiabisha nchi, kuleta ugomvi mkubwa hivi kwa taifa badala ya kuungana na kuleta maendeleo?
Piga spanaInasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyanganya Wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio kusaidia taifa!
2. Pili, je kuwa na wawakilishi sehemu nyingine ambao hawajachaguliwa na wananchi ni tatizo kwasababu watu bado wana mioyo yao na huwezi kubadilisha kwa kulazimisha.
3. Kwanini tunapoteza pesa, kuiabisha nchi, kuleta ugomvi mkubwa hivi kwa taifa badala ya kuungana na kuleta maendeleo?
Kila Mara mnasema shetani hawezi kushindana na Mungu. Leo shetani chali wakiongozwa na mlevi wa taifa.Tumefanya uchaguzi kwa sababu sisi ni despotic banana republic.
Tuna kiongozi toka burudiInasikitisha sana kuona nchi yetu inapoenda kidemokrasia. Kama wewe ni Mtanzania unayependa nchi hii huwezi kufurahia hata kidogo kinachoendelea.
1. Kwanza jiulize kitu kimoja kunyang'anya Wapinzani nafasi walizoshinda kihalali au kuwazuia haki zao inasaidia vipi taifa letu? Kusaidia CCM sio kusaidia taifa!
2. Pili, je kuwa na wawakilishi sehemu nyingine ambao hawajachaguliwa na wananchi ni tatizo kwasababu watu bado wana mioyo yao na huwezi kubadilisha kwa kulazimisha.
3. Kwanini tunapoteza pesa, kuiabisha nchi, kuleta ugomvi mkubwa hivi kwa taifa badala ya kuungana na kuleta maendeleo?
Halafu what next?Kwani mlikuwa mnategemea nini?
Sisi wengine tumekuwa tukiwaambia kuwa hakuna haja ya kushiriki hiyo ‘charade’, lakini tunaishia kudhihakiwa tu.
Subirini 2025 mshiriki tena kuipa uhalali CCM.
Jamii ya kimataifa wanasaidia nini? Sijawahi shuhudia kokote msaada wa jumuiya ya kimataifa ikisaidia.And guess what....
Kama vyama vikubwa vya kisiasa vingesusia, hiyo idadi ya wapiga kura ingeweza kushuka zaidi na kuifanya CCM ionekane ni kituko tu mbele ya jamii na hata jumuia ya kimataifa!
Sasa hivi hao wapinzani hawana uhalali wa kulalamika.