Badili mkao wa kitanda chumbani

Me hii kitu hainihusu nilishagasahau vitu vya namna hiyo long time. hata kama nikibadili kila siku kule ninakotoa na ninakopeleka ni mbonji mwanzo-mwisho
 
daah mshana eeh! wewe sio wa kunikimbiza ndani time hii ndugu yangu.. hata kuingia ndani tena naogopa sasa
 
Me hii kitu hainihusu nilishagasahau vitu vya namna hiyo long time. hata kama nikibadili kila siku kule ninakotoa na ninakopeleka ni mbonji mwanzo-mwisho
Lakini bado si uko hai?
 
Akili yako inahitaji msaada. Hivi kweli bado unamawazo potofu namna hii? ?!!kweli Tanzania bado sana sijui umeamka na mbege za wapi aisee
 
Akili yako inahitaji msaada. Hivi kweli bado unamawazo potofu namna hii? ?!!kweli Tanzania bado sana sijui umeamka na mbege za wapi aisee
Replies za namna hii kwangu huwa ni burudani tuu kwakuwa najua hujui na hutaki kujua ...! Hauko peke yako mko wengi halafu kiuhalisia ni kwamba hakuna wabovu kama ninyi
 
Replies za namna hii kwangu huwa ni burudani tuu kwakuwa najua hujui na hutaki kujua ...! Hauko peke yako mko wengi halafu kiuhalisia ni kwamba hakuna wabovu kama ninyi
Nyie ndio mnarudisha maendeleo ya nchi nyuma! Think big aisee
 
Nyie ndio mnarudisha maendeleo ya nchi nyuma! Think big aisee
Nikikwambia fafanua ulichoandika walau kwa para mbili tu najua wazi hutaweza, kama nakuonea au nakusingizia jaribu
 
Duuh huu utaalam aisee teh teh teh,hawa ndo Wakina Newton wa kibongo.
 
Huwa napenda chumbani kwangu kuweka kitanda kati kati ya chumba, kulia na kushoto kuwa na nafasi it means naweza panda kitandani upande wowote.
 
Kuna kitabu nilisoma kinashauri ulale kufuata compus direction N <-> S sababu kuna nguvu za mvutano za asili zinazohusiana moja kwa moja na maisha ya mwanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…