Badili mkao wa kitanda chumbani

Badili mkao wa kitanda chumbani

Naona Kama inapingana na ulichokiandika maana ulisema Kuna baadhi ya kona ni Mapito ya nguvu za giza, ni Mapito ya roho mchafu Hii imekaaje

Mkuu %99ya Majinni hua wanakaa kwenye kona za ukuta sasa usiwabane huko kuwaharibia pozi lao
 
Hahhah Kaka Mshana Jr again..........Ahsante. Ila hayo mapicha yako yanatisha bana.
 
duuuh ngoja niweke kitanda katikati au na hapo kutakuwa na shida.
 
Back
Top Bottom