Invisble275
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 982
- 1,166
Karibu Mkuu Mshana Jr.Nimepata darasa la bure hapa! Thanks Invisble275
Karibu Mkuu Mshana Jr.Nimepata darasa la bure hapa! Thanks Invisble275
Hii inawezekana ikawa ni ya kitabibu zaidi! Vp Ulishawahi kwenda hospital?Kaka mimi nikilalaga usiku huwa naskiaga sehemu ya mbele ya ubongo wangu, maeneo ya kusujudia apa kama kuna vuta kabisa kama kuna kitu kipo ndan nahis hii inatokeaga kila siku kuna tatizo mkuu
Sasa hawa wenzetu wenye mihekaru wanaowekaga vitanda katikati yabchumba uku kimezungukwa na matakataka kibao.inamaana wapo ktk hatari ulya kushambuliwa na roho chafu??na je matatizo gani zaidi mtu waweza pata ukishambuliwa sana na kwa mda mrefu?Sawa na kuweka mpira katikati ya uwanja anybody can kick
Kwahiyo ukifanya hivyo kwa kitanda kila nguvu itakugombania
Yale mahekalu hujengwa kwa maana maalum na mahesabu yake kuanzia rangi mpaka nini kikae wapi...Sasa hawa wenzetu wenye mihekaru wanaowekaga vitanda katikati yabchumba uku kimezungukwa na matakataka kibao.inamaana wapo ktk hatari ulya kushambuliwa na roho chafu??na je matatizo gani zaidi mtu waweza pata ukishambuliwa sana na kwa mda mrefu?
Vip kama chumba ni cha duara?io milanga ya roho chafu hukaa wap au mtu akalala chini bila kitanda??Yale mahekalu hujengwa kwa maana maalum na mahesabu yake kuanzia rangi mpaka nini kikae wapi...
Madhara hakuna zaidi ya usumbufu
Hata duara lina pande piaVip kama chumba ni cha duara?io milanga ya roho chafu hukaa wap au mtu akalala chini bila kitanda??
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Mkuu kwa mm nisiyejua kaskazini ni upande UPI si imekula kwangu.....mfano Kkoo ni upande UPI?Nyongeza kwa wasomaji. Hata siku moja usiweke kitanda sehemu ya kichwa ikaelekezwa kaskazini. Elekeza sehemu yoyote isipokuwa kaskazini tu. Sababu za kutoelekeza kichwa kaskazini ni kwa sababu zifuatazo. Kwanza kwenye damu ya mwanadamu kuna kitu kinaitwa Haemoglobin ambayo ina madini ya iron ambayo ndiyo utumika kusafirisha oxygen kwenye mwili wa binadamu. Dunia pia imejazwa na magnetic field ambazo ambazo sifa zake ni kwamba siku zote ni kwamba nguvu za uvutano uelekea kazikanini. Hivyo basi u napolala wakati kichwa kimelekea kazikazini madhara yake ni kwamba nguvu ya uvutano ya sumaku (magnetic field) itavuta ubongo wako uliona madini ya chuma (iron) na kukusababishia mgandamizo (pressure) kwenye ubongo wako ambao unaweza kukusababisha stroke.
Hahahahaa.Mkuu kwa mm nisiyejua kaskazini ni upande UPI si imekula kwangu.....mfano Kkoo ni upande UPI?
Nilishawahi kuulizwa..! Eti hapa tulipo kushoto ni wapi?Hahahahaa.
Umenichekesha kweli Mkuu. umesoma shule ya msingi? nakumbuka Jiografia ya darasa la tatu ndo tulipoanza kujifunza pande nne za dunia (Four cardinal points). Kama unaikumbuka hii, basi naamini unajua kaskazini, kusini, mashariki na magharibi ziko wapi. Kujua k/koo iko wapi inategemea wewe uko wapi.

Niko Chanika mkuu,haya maisha yanatufanya tupoteze network na huu Uzi umenigusa maana namaliza kubadiri kitanda tu nakutana naoHahahahaa.
Umenichekesha kweli Mkuu. umesoma shule ya msingi? nakumbuka Jiografia ya darasa la tatu ndo tulipoanza kujifunza pande nne za dunia (Four cardinal points). Kama unaikumbuka hii, basi naamini unajua kaskazini, kusini, mashariki na magharibi ziko wapi. Kujua k/koo iko wapi inategemea wewe uko wapi.
Kwa kukusaidia Kama ukitazama jua linakotoka, siku zote kaskazini ni kushoto kwako. Nyuma yako ni Magharibi na kulia kwako ni kusini. Kwa hiyo ukiwa Chanika, K/koo iko Mashariki ambako ndiko jua linako toka.Niko Chanika mkuu,haya maisha yanatufanya tupoteze network na huu Uzi umenigusa maana namaliza kubadiri kitanda tu nakutana nao
Hahahahahaa.Nilishawahi kuulizwa..! Eti hapa tulipo kushoto ni wapi?
Lakini zamani sana wayback 1994 dada mmoja nilimuuliza unakaa wapi akaniambia ukienda hivi kushoto, hapo ilikuwa ni Dar kumbe huko kushoto anakosema ni Lugoba![]()
![]()
![]()