Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Uongo uliojaa asali.
Nije na Mimi????Njoo tulale wote
TanguliaNjoo tulale wote
Threesome itahusikaNije na Mimi????
Nyongeza kwa wasomaji. Hata siku moja usiweke kitanda sehemu ya kichwa ikaelekezwa kaskazini. Elekeza sehemu yoyote isipokuwa kaskazini tu. Sababu za kutoelekeza kichwa kaskazini ni kwa sababu zifuatazo. Kwanza kwenye damu ya mwanadamu kuna kitu kinaitwa Haemoglobin ambayo ina madini ya iron ambayo ndiyo utumika kusafirisha oxygen kwenye mwili wa binadamu. Dunia pia imejazwa na magnetic field ambazo ambazo sifa zake ni kwamba siku zote ni kwamba nguvu za uvutano uelekea kazikanini. Hivyo basi u napolala wakati kichwa kimelekea kazikazini madhara yake ni kwamba nguvu ya uvutano ya sumaku (magnetic field) itavuta ubongo wako uliona madini ya chuma (iron) na kukusababishia mgandamizo (pressure) kwenye ubongo wako ambao unaweza kukusababisha stroke.
Naamini huu ni wakati muafaka wa kusoma huu uzi...!kama uko chumbani kwako angalia position ya kitanda chako na jiulize kama una amani...!!!
Wengi wetu hupenda kubadili position ya kitanda chumbani kila baada ya muda fulani...hii ni natural attraction ambayo huleta mtazamo mpya na mvuto pia.
Lakini kama wewe ni mfuatiliaji lazima Ulishawahi kukumbana na hiki kisanga kwamba baada tu ya kubadili mkao wa kitanda chumbani basi maruerue ndoto za kutisha na majinamizi vimekuwa havikomi usiku chumbani
Wengi bila kujua asili ya tatizo wamejikuta wakikimbilia kwa waganga wa kienyeji na kupoteza pesa nyingi lakini ukweli ni huu hapa
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni mapito ya nguvu za giza
.Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho chafu
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni centre ya mawasiliano kati ya nguvu za giza na ulimwengu wa roho
Ndani ya vyumba vyetu vya kulala kuna kona au upande ni makazi ya roho za uharibifu
Hivyo basi unapobadili position ya kitanda na usiku wa kwanza au wiki ya kwanza ukaanza kupata mambo mageni usihangaike wala kupata shida na waganga wa kienyeji ama fikra za kufanyiwa ushirikina peleka kitanda chako upande mwingine utakuwa umesolve tatizo ambalo lingekugharimu pesa mingi.
Angalizo; Si wote wanaokutana na hizi hali na kwa wale wanaosali na kufanya dua kabla ya kulala ni mara chache mno kukutana na hizi hali
Uhalisia ni upi sasa hapo? Kisa tu michoro na maneno yaloandikwa in english kunatosha kutufanya tuamini umefanya tafiti na kwamba tukubaliane na ramli zako? Kisa imeandikwa kwa kiingereza na michoro yake...View attachment 368955View attachment 368956Kama huvijui hivi vitu uliza upewe elimu au ulidhani nimetunga tu kichwani mwangu? Kila niwekacho hapa nimejiridhisha na uhalisia wake...siandiki kufurahisha genge ndugu yangu
...hahahahaha..njoo Kigoma ule dagaa la mawese!Hii ni imani tu ya mtu kona yoyote nalala vizuri, ila nisile tu ugali dagaa usiku maana mandoto ya ajabu yatanijia