Badili mkao wa kitanda chumbani

Badili mkao wa kitanda chumbani

Nyongeza kwa wasomaji. Hata siku moja usiweke kitanda sehemu ya kichwa ikaelekezwa kaskazini. Elekeza sehemu yoyote isipokuwa kaskazini tu. Sababu za kutoelekeza kichwa kaskazini ni kwa sababu zifuatazo. Kwanza kwenye damu ya mwanadamu kuna kitu kinaitwa Haemoglobin ambayo ina madini ya iron ambayo ndiyo utumika kusafirisha oxygen kwenye mwili wa binadamu. Dunia pia imejazwa na magnetic field ambazo ambazo sifa zake ni kwamba siku zote ni kwamba nguvu za uvutano uelekea kazikanini. Hivyo basi u napolala wakati kichwa kimelekea kazikazini madhara yake ni kwamba nguvu ya uvutano ya sumaku (magnetic field) itavuta ubongo wako uliona madini ya chuma (iron) na kukusababishia mgandamizo (pressure) kwenye ubongo wako ambao unaweza kukusababisha stroke.
Makubwa haya
 
Hivi mkuu na haya mapaka yanayolia dirishani kwangu kama watu dawa yao ni nini?

Maana inanibidi nikeshe JF saa hizi ili shemeji yako awe na amani maana tuna kichanga ana hofu kubwa na hizi sauti za paka watu.
mwaga chumvi na ndimu eneo husika kisha nipe mrejesho, unaweza kufanya hivyo hata muda huu hata kama huna ndimu lakini dawa ya mboga hukosi
 
Mkubwa wa jiko nimeshamwaga ila naona walishasepa, hata dogo saa hizi kaamka yuko macho tunacheza tu kitandani.
Chukua majimaji ya ndimu mpake kwa kidole kwenye paji la uso kifuani tumboni na kwenye nyayo
 
Chukua majimaji ya ndimu mpake kwa kidole kwenye paji la uso kifuani tumboni na kwenye nyayo
Kubadili uelekeo wa kitanda kwa wengine kama mimi ni ngumu. Kwanza siwezi kuelekeza kichwa upande wenye dirisha.
Chumba changu kina madirisha mawili na mlango hii maana ya upande mmoja una dirisha,upande mmojs una dirisha lingine upande mwingine una mlango. Unabaki upande mmoja ukuta tupu huo ndio uelekeo wa kichwa changu na siwezi kubadili.
 
Nilijua tu huu uzi lazima uwe unahusiana na nguvu za giza hiv ww mtoa maaada ni mchawi?????
 
Kubadili uelekeo wa kitanda kwa wengine kama mimi ni ngumu. Kwanza siwezi kuelekeza kichwa upande wenye dirisha.
Chumba changu kina madirisha mawili na mlango hii maana ya upande mmoja una dirisha,upande mmojs una dirisha lingine upande mwingine una mlango. Unabaki upande mmoja ukuta tupu huo ndio uelekeo wa kichwa changu na siwezi kubadili.
Kama haikuletei shida hakuna tatizo kabisa
 
Back
Top Bottom